Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Ukiwa kiongozi ndani ya CCM basi wewe ni MWEUPE kama Sufi ya kondoo LAKINI ukishatoka au ukitolewa utaisoma. Utakumbuka kilichomtokea Lowassa akiwa ndani ya CCM, akiwa Upinzani na aliporudi CCM.
Jambo la kushangaza ni kuwa viongozi hao walipokuwa madrakani walikuwa wakiabudiwa na wana CCM hao hao.
TAHADHARI: Rais Magufuli, Polepole, Bashiru na wengine, yanayowatokea sasa hivi akina JK, Kinana, Nape, January, Membe, Mwigulu, Nyalandu, Kagasheki,; MJIANDAE KUYAKABILI PINDI YAKIWARUDIA.
DUNIA DUARA, WHAT GOES AROUND COMES AROUND