Ipo siku Rais Magufuli atatukanwa na ataitwa Fisadi na wana CCM wenyewe!

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Ukiwa kiongozi ndani ya CCM basi wewe ni MWEUPE kama Sufi ya kondoo LAKINI ukishatoka au ukitolewa utaisoma. Utakumbuka kilichomtokea Lowassa akiwa ndani ya CCM, akiwa Upinzani na aliporudi CCM.

Jambo la kushangaza ni kuwa viongozi hao walipokuwa madrakani walikuwa wakiabudiwa na wana CCM hao hao.

TAHADHARI: Rais Magufuli, Polepole, Bashiru na wengine, yanayowatokea sasa hivi akina JK, Kinana, Nape, January, Membe, Mwigulu, Nyalandu, Kagasheki,; MJIANDAE KUYAKABILI PINDI YAKIWARUDIA.

DUNIA DUARA, WHAT GOES AROUND COMES AROUND
 
Kwa ile list ya Musiba lazima hofu iwepo kama kweli

Kocha-Jina tumestiri

Wachezaji

Kinana, Subash, Rostam, Lissu, Mbowe, Ghasia,Mlowola, Nchimbi, Nyalandu...
Membe, Nape, Januari, Zitto,...
 
Kwanza wewe ni mfuasi wa chama gani ?

Pili kwa CCM kuitana WAPUMBAVU ni jambo la kawaida hata mwenyekiti wao mara kadhaa amewaita wenzake WAPUMBAVU.

Tatu , ukiwa mfuasi wa mpinzani hupaswi kusikitishwa na migogoro yao. Unatakiwa kuombea wamalizane kabisa.
 
Back
Top Bottom