ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

Wewe unashangaza sana,yaani mtu anakuweka kwenye maombi unataka kumnasa makofi,Je angekuwa na kelele kama mziki wa gari la promotion ungefanya nini?
Hebu kua bwana
 
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Hilo neno ngoja kwa jinsi ulivyoliweka, ndo pepo lenyewe.
 
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja

Kha ha ha ha haaaaaa! Una bahati namna hiyo halafu unachezea?

Pole sana Ndugu yangu!

Natamani angekuwa My wife!
 
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja

Aisee nimecheka ile mbaya mkuu!! usimchape makofi shemeji yetu ongea nae tu vizuri atakuelewa.
 
Kaka samahani nikuulize, Anakuomba wewe au anakuombea kwa Mungu? Kwanini umpige makofi? Siku hizi bado kuna watu wanampiga asiyeweza hata kurudisha pigo? May God have mercy on yu.
Kwani wewe huombi? Mwambie Mungu amshone hilo domo akae kimya kama hutakuja hapa jf kuomba msaada wa maombi ya kumfungua. Au ni hako ka binti kengine kanakusumbua? Mke hapigwi banaa, mtandike kanga mbili na wax uone atakavyo badili hayo maombi.
Mtu hujamnunulia hata kyupi tangu amempata mtoto wa kwanza, aache kuhofu kwamba unachelewa kwa hako kabinti hapoo.
 
Usifanye hivo mkuu. Kisasi cha Mungu ni kibaya sana. Wewe kama sio muumini bora ukapiga kimya tu.
 
kwani hawezi niambia kwa maelezo ya kawaida mpaka anishtak kwa mungu mean anani laan au vp?

Atakuwa ana sababu! Pengine akisema hivyo utaacha mapema. Na wewe piga magoti kando yake sema sala ifuatayo: Ee baba wa mbinguni, nakuja kwako nikuomba umsaidie mke wangu mpenzi ajue ninavyokereka akinishtaki kwako! Funga pepo lake la malalamishi na utupe amani, niondolee hasira zinazopanda kila anaponishtaki kwako, maana siku si nyingi nitashindwa kuvumilia, nitampiga. Nakushukuru kwa kuwa atakusikia na ataepusha shari.
 
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja

...Kwa Jina la Yesu, Kwa Jina la Yesu
...uwe unarudi nyumbani mapema..., kuanzia sasa tufunga pepo la kuchelewa kurudi nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom