Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,641
- 32,395
Balozi juma mwapachu alipohama CCM na kujiunga UKAWA, watu wengi tulifurahi na kumpongeza na kumuona shujaa na hata wale walioonekana kumpinga ujio wake waliishia kutukanwa tuu!! zimepita siku chache tuu karudi CCM ,vijana wa UKAWA wanamtukana wanamuita kigeugeu lakini in usahaulifu wa hali ya juu sana maana vigeugeu bado wamo ndani ya chama.
Lowassa alizunguka mikoa mingi sana huku akitafuta wadhamini kugombea uraisi kupitia CCM, na tuliamini bila yeye CCM si kitu hakuna mwingine wa kupita zaidi yake na kama kawaida vijana wa ukawa humu ndani walitoa kila aina ya lugha kwa mzee huyu lowasa ambaye mm namuona shujaa pekee nchi hii.
Miezi michache baadae alihama CCM na kuhamia CHADEMA, zile kejeli na matusi kwake kutoka kwa vijana wa UKAWA zikaisha na kilichofata ki kumtukuza, HUU NDIO UKIGEUGEU(mwapachu anasingiziwa tu).
Naamini IPO siku lowassa naye atarejea CCM