Ipo sababu ya kumuadhibu kwa kumnyima kura 2020 kama atasimama tena

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,071
15,899
Nyinyi pateni tabu amepona lakini hataki kurudi anawadhililisha huko aliko,hawajali tena aliwaahidi maendeleo lakini amesahau tangu aingie ulaya hataki kurudi tena kazi ni kuzurura na kuongea sana.

Ni lini atakuja kuwaomba msamaha kwa kuwatelekeza,

Kuna taarifa za chini chini amepanga kuja miezi mitatu kabla uchaguzi dawa yake ni kumyoosha kwa kumkataa hadharani, kama alivyowakataa nyinyi .

Alisimama jukwaani na kuwahidi kuwa atakuwa nanyi bega kwa bega kuwaletea maendeleo!
 
Unavyoongea ni kama unaongea na watoto waliozaliwa Sept 8 2017.
Unaongea utafikiri unaongea na watu waliokuwa wamezimia tangu Sept 6, 217 na wamezinduka Jana jioni.
Unaongea utafikiri unaongea na watu waluokuwa na taahira ya akili tangu Sept 6, 2017 na wamepona Jana toka Milembe.
Unaongea kama vile unaongea na wasiojua kilichotendeka juu ya unayemuongelea baada ya tukio mlilomfanyia.
Kwa bahati mbaya unaowaambia wanajua mlichofanya juu ya mtu huyo na lengo lenu lilikuwa nini na limeendelea kuwa nini tangu siku hiyo hadi Leo.
Unawaambia watu ambao baadhi ni ndugu, marafiki, washabiki na wanompenda na kumhurumia mnayetamani afe muda wowote.
Mna bahati mbaya kwamba mnaojaribu kuwashauri wanajua nia yenu ovu na wanajua lengo la ushauri wenu ni nini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi pateni tabu amepona lakini hataki kurudi anawadhililisha huko aliko,hawajali tena aliwaahidi maendeleo lakini amesahau tangu aingie ulaya hataki kurudi tena kazi ni kuzurura na kuongea sana.
Ni lini atakuja kuwaomba msamaha kwa kuwatelekeza,
Kuna taarifa za chini chini amepanga kuja miezi mitatu kabla uchaguzi dawa yake ni kumyoosha kwa kumkataa hadharani, kama alivyowakataa nyinyi .Alisimama jukwaani na kuwahidi kuwa atakuwa nanyi bega kwa bega kuwaletea maendeleo!
Mbona Mkuu Kipara kipya unaweweseka sana na Tundu Lissu??

Hakika huyo jamaa anawapeleka puta sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom