Uchaguzi 2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?

Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .

Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais no kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto

Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea sana,
Mkuu una ushahidi na haya uyasemayo juu ya lissu???
 
Uchaguzi huu ni mgumu sana kwa CCM...naona JPM akitangazwa na Tume yake ya uchaguzi kwamba ni Mshindi ...na Lissu akitambuliwa na mataifa yote makubwa duniani kama ni mshindi.

Hapa ndipo tutakapoanza kuheshimiana.
 
CCM wamehamia kwenye hoja ya wakala wa Mabeberu ila imeshapatiwa majibu hapa 👇

Dhana ya Ubeberu na Siasa za Tanzania
CCM wamejichanganya wenywe hii mitano wametengeneza maadui wengi kuliko marafiki Serekali tangu wameingia hawalipi madeni kuazia mifuko ya kijamii tenda za serekali wakandalasi wakulima wafanyakazi miaka mitano wanahakiki madeni wanajipa matumaini ya kumshinda Lisu endelea kuhakiki madeni hapa kazi tu .
 
Hakuna aliye zaliwa na uzoefu wa jambo lolote bali ujifunzia hapa hapa duniani.

Hivyo hilo suala la uzoefu halina nafasi
Huu ndio ushabiki sasa ambao tunaupinga hapa.

Ni nani utamueleza kwamba experience doesn't matter???
 
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!

Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.

Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.

KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.

1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.

2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?

Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.

3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.

Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?

4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".

Je, kuna nini hapo?

5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?

Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Be blessed
 
Mbona magufuli ana experience kubwa tu kwenye kushindwa,hawezi hata siku moja kushindana
 
Umeeleza vema kabisa ahadi mambo niliyokuwa siyajui.

Inaonekana Madiwani wa Lissu wako kama Lissu tu. Hawana bei.
Nyumba imara inatokana na msingi wake. Nina imani kugombea Lissu urais utampa wakati mgumu sana Nchemba. Wanasingida wataitisa CCM kumbariki ndugu yao. Hata Nchemba mwenyewe angetegemea Wanasingida wampigie kura kama angepata nafasi ya kugombea. Halafu siwezi kuamini kama Nchemba kweli hakuenda kumuangalia ndugu yake alipolazwa! Atalipa 28/10/2020.
 
Kitendo cha Lisu kurudi Bongo na akaachwa watu wampokee kwa Mikusanyiko ya watu wengi na maandamano pale Airport ni ishara tosha kuwa hata watu wa kitengo wanataka kumkabidhi nchi. Na mgombea yeyote akishakubalika na hiki kitengo huwa biashara imeisha.

Pia kuna viashiria vingi vinavyoonyesha kuwa utawala wa serekali ya Magu unamapungufu mengi ya kiutawala na kupelekea nchi kutoeleweka inaelekea wapi.

Tukiacha propoganda pembeni. Ukimuondoa Hayati Nyerere, Kiukweli Lisu ana sifa nyingi bora, murua na stahiki kuliko marais wote waliowahi kiongoza nchi hii. Hata Kikwete aliwahi kusema wakati wa kampeni kuwa ni heri W. Slaa awe Rais kuliko Lisu kuchaguliwa kuwa Mbunge maana huyu jamaa ni kichwa hasa.
 
Kwa uchaguzi wa Oktoba, Magufuli akishinda ni kwa hisani ya tume yao tu na sio zaidi ya hapo.

Watanzania hawapendi ubabe na Magufuli ana hulka ya ubabe na sio mtu reasonable na pia ana unafiki mwingi sana pamoja na usanii wa kupika takwimu.

Kwa kweli hana lolote na hana karama ya uongozi. He is just a political opportunist.
 
Magufuli ameathiri negatively maisha ya Watanzania wote kwa maamuzi yake ya chuki na kibaguzi.

Miaka 5 iliyopita Upinzani hawakuruhusiwa kufungua mdomo wakati wenyewe CCM waliendelea na kampeni. Kitu ambacho Magufuli alidhani anaua upinzani. Kinyume chake amejenga appetite kwa wa -Tanzania kusubiri wapinzani wateme nyongo.

Sioni Magufuli akipata hata 30% ya kura. Atapata kura za akina Makonda na ndugu zake wa Chatto anaowapa uteuzi kila siku.

Wa Tanzania wote au wenyewe au ndugu zao amewaathiri kimaisha kwa maamuzi haya:-
-Kuwaondoa wanafunzi wa UDOM
- Kufuta wafanyakazi wa vyeti feki
- Kuwatumbua wafanyakazi bila kufuata sheria
- Kutopandisha mshahara na madaraja
- Kutotoa ajira kwa wahitimu wa vyuo
- Kuvunja nyumba za Kimara na kuachia za Mwanza
- Kubagua maendeleo majimbo ya wapinzani kama Kilwa
- Kuzuia wanafunzi wenye mimba wasiendelee na masomo
- Kumtimua CAG makini
-Kuua wakosoaji kama BenSaa Nane na Azory Gwanda
- Kutumia vibaya fedha za Serikali kama ujenzi wa kiwanja cha Ndege Chato
- Kuwaweka rumande wafanyabiashara kwa makosa ya kubambikiza kama Rugemalira
-Kuwabambikiza makosa wakosoaji kama Kabendera
- Kutunga sheria kandamizi
-Kutawala kwa kidikteta
- Kufanya maamuzi bila kushirikisha Baraza la mawaziri

Hayo ni baadhi tu!!

Plus Tito Magoti.😭😭😭
 
Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?

Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .

Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais no kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto

Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea sana,
Haya kalie hiyo 7000 yako kivulini...
 
Tutaendelea kusoma tu kwa jinsi gani mnavyojifariji. Uchaguzi wa uraisi hamtashinda, Kule kwenye ubunge ndio pa kuweka nguvu.....
HUna tofauti ya kimawzo na mabibi na mabubu waliokuwepo enzi za chama kimoja, duka la kijiji nk. Mambo yamebadilika mkuu wapiga kura wengi mwaka huu si wale wa enzi za chama kimoja, wengi wamezaliwa ama kukulia katika mfumo wa dot com na vyama vingi. Hebu fikiri ITV wakizima sauti,kwenye mitandao ya kijamii sauti inapatikana vizuri tu. TBC ikigeuzwa mali ya ccm lakini kwenye social media tunapata taarifa nyingi zaidi zikicover vyama vyote kuliko hizo ta tbc-ccm
 
Hakuna uchaguzi rahisi kwa CCM kama mwaka huu! Uchaguzi mgumu ulikuwa 95 ya kina mrema na 2015 ya Edo! TL wala hatishi kwa Magu
mdharau mwiba.....,sihesabii Kama 95 ulikuwa mgumu coz Yule alikuwa pandikizi na huku wananchi wakiwa wameichoka kweli ccm,so let's see awamu hii mfugaji kamua kuchunga mwenyewe mifugo yake kuelekea machungani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom