Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,704
Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
Screenshot_20210805-131108~3.png
Screenshot_20210805-131141~3.png
Screenshot_20210805-130030~3.png
Screenshot_20210805-130149~3.png
Screenshot_20210805-125707~3.png
Screenshot_20210805-125639~3.png
Screenshot_20210805-131648~9.png
Screenshot_20210805-125928~5.png
 
Hivi kipindi simba ikiwa inaitwa ya Matopeni mlikuwa wapi kuandika haya? Simba ndo ipo kwenye hatua flani ya mafanikio ndo mnaleta threads hapa,Je ni kweli kupitia Simba mnufaika pekee ni MO?

Club ya simba hainufaiki na chochote? Hebu mtupe inputs na outputs za mapato ya Simba na matumizi yake ndo tuje tujadili,mnataka hadi mambo ya ndani ya Simba yaletwe kwa wanaumma? Hebu acheni majungu basi leteni facts za kutosha kwa sisi washabiki tuwaelewe.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mnakubali ushindi ni jitihada binafsi za Mo pamoja na uongozi mkuu na sio kelele za Zeruzeru..

Zeruzeru kaondoka ngoja tuone kama mashabiki hawataingia uwanjani au Simba itakosa vikombe..
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Hivi kipindi simba ikiwa inaitwa ya Matopeni mlikuwa wapi kuandika haya?
Wamatopeni ni simba au yanga?
Simba ndo ipo kwenye hatua flani ya mafanikio ndo mnaleta threads hapa,

Je ni kweli kupitia Simba mnufaika pekee ni MO?
Hapana na familia yake pia inanufaika.
Club ya simba hainufaiki na chochote? Hebu mtupe inputs na outputs za mapato ya Simba na matumizi yake ndo tuje tujadili,

mnataka hadi mambo ya ndani ya Simba yaletwe kwa wanaumma?
Tupe hayo mambo ya ndani basi mkuu
Hebu acheni majungu basi leteni facts za kutosha kwa sisi washabiki tuwaelewe.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile ap
 
Kwahiyo mnakubali ushindi ni jitihada binafsi za Mo pamoja na uongozi mkuu na sio kelele za Zeruzeru..

Zeruzeru kaondoka ngoja tuone kama mashabiki hawataingia uwanjani au Simba itakosa vikombe..
Sio viziru mkuu kumuita mwenzio ZERUZERU kumbuka hujafa hujaumbika hata yeye hakupenda azaliwe vile, note that UNAWEZA UKAMZAA NA WEWE UYO ZERUZERU, sijui utajikiaje?
 
Sio viziru mkuu kumuita mwenzio ZERUZERU kumbuka hujafa hujaumbika hata yeye hakupenda azaliwe vile, note that UNAWEZA UKAMZAA NA WEWE UYO ZERUZERU, sijui utajikiaje?
Aitweje Sasa?Albino au mlemavu wa Ngozi?
 
Sio viziru mkuu kumuita mwenzio ZERUZERU kumbuka hujafa hujaumbika hata yeye hakupenda azaliwe vile, note that UNAWEZA UKAMZAA NA WEWE UYO ZERUZERU, sijui utajikiaje?
Kwahiyo nimwitaje?? Kwani Haji sio zeruzeru? Kama sio mwambie akakae juani saa 7 kamili mchana mpaka saa 8 kama ataweza
 
Nasisitiza tena,mashabiki wa Simba tumeridhia na tunataka Kanji Bhai aichukue Simba ili Utopolo mzidi kupata shida na mateso bila chuki.
Kaanzishe club yako ndio umpe kama zawadi. Kwa sisi watanzania wapenda haki, tunamtaka atoe zile bil 20 na afuate utaratibu wa wanahisa wengine kuhusu kuongoza club, siyo anajikalia chini anateua watu hovyo hovyo tu, mara Babra, mara dada yake.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Labda sio kwa njaa za watanzania, watageukana wote hao wenye hisa hizo 51.

Ni sawa na watu kupiga kelele eti Mo Dewji hatomuweza Haji Manara. Kwa msuli gani au hela gani aliokua nazo Manara asitulizwe.
 
Back
Top Bottom