...ipo haja ya kuwa na jukwaa maalum la SALAMU

Mwambie nashukuru sn,ilikua turudi mwisho wa mwezi lkn kaka yako kaongeza miezi 2 so tunatarajia mwezi wa sita ndio hane mun itaisha!na ce twawamis sn jaman!vp huko mnatunyima nn wifi!
My wyf..unanipa raha sana!
Hatuwezi kumaliza hani mun mapema..lazima tuenjoy to the maximum cuz this happens once in a life time!
 
...reply ya kwanza na ya pili tu,ndo inabeba maana ya post...zilizobaki salamu tupu na porojo...
oooh Ericky nakusalim Amyner
oooh Husny namtafuta husby wangu Jg...
oooh DA anamwambia SL sijui nn!
oooh Kongosho kaja na umbea huko hata haufanani na uzi...
oooh Mtei One naye anatongoza mke wa mtu (Myner)
...watu wanachekaa weeee kwenye nyuzi za watu...
je ipo haja kuwa na jukwaa maalumu la SALAMU tuuu msalimiane hadi na kupeana umbea wenu wote!..?na hao niliotaja hapo juu ni baadhi tu ya watu maarufu wa kuchakachua nyuzi za watu!LMAOOOOOOOO!
Eti wanadai kwamba bila ya kuchakachua nyuzi huwa zinadoda!!
 
Ntakukoesha ila najua 10,000 ya kuanzia utakuwa nayo....
au unaweza ukam-PM invisible kwa maelezo zaidi.
Ntafurahi kama ChitChat itakuwa na Premium Members tu.....
Tutakuwa juuu sana
Nasubiri uni M'PESA huo mkopo!..
 
Inaita tu haipokelewi anakua anampa eric cha asubuhi pati 2.

hahahahaaa...hawa watakufa maskini!..kukulana tuuu 24/7 waige mfano wa husny na Jg...ni pale tu wanapotaka kumimbana ndo wanakutana!bo!
 
Back
Top Bottom