...ipo haja ya kuwa na jukwaa maalum la SALAMU

Ericky,
Amyner situmekuachia,tumebagi party time tu...sasa na huyu tena unamtaka??
Canta,Husninyo na SweetLady ni shemeji zangu na nimedhamilia kuwalinda wawe salama kutoka kwa mafataki km wewe
 
Hii ilinipita ila natangaza vita na alyenichafulia jna. Mwngne yeyote atakayejarbu kunichafua lazma ni deal naye. Dadeki
 
leo mambo ya kuwa kama screen saver yenu hapa sitaki...usiku mwema nyote...sitaweza kuaga kwenye kila topic...nimejipendelea kwenye yangu mwenyewe!...SL,HUSNY NA CANTY Kawapeni wenzenu SHAKULA YA USIKU!
 
wenzetu kina nani watu tunalala na midoli hapa.
 
Hii ilinipita ila natangaza vita na alyenichafulia jna. Mwngne yeyote atakayejarbu kunichafua lazma ni deal naye. Dadeki
Huna ubavu unatangaza vita....
Ila adui yako ni bagah hilo linajulikana mbona....
 
leo mambo ya kuwa kama screen saver yenu hapa sitaki...usiku mwema nyote...sitaweza kuaga kwenye kila topic...nimejipendelea kwenye yangu mwenyewe!...SL,HUSNY NA CANTY Kawapeni wenzenu SHAKULA YA USIKU!

Nina bifu na wewe.
 
Back
Top Bottom