dazipozi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 1,137
- 106
ndovu,Gongo hiyoo muwongo wewe,Mxtehe!...tena ww ndio bingwa asee!natafta uzi wako...ukiweka tu,cha kwanza nasalimia wooote!
haya tangulia shem naja nimalizie hii ndovu yangu hapa...
ndovu,Gongo hiyoo muwongo wewe,Mxtehe!...tena ww ndio bingwa asee!natafta uzi wako...ukiweka tu,cha kwanza nasalimia wooote!
haya tangulia shem naja nimalizie hii ndovu yangu hapa...
Helow too darling,...Hello my love i mic u baby
Hahaha!Huwa wanaboa kikweli!!!kiushamba flani wanaletaga katika threds za watu mpaka huwa najiuliza watu humu JF wamekuja kujuana au vipi?
Hahaha!
Uko serious mpaka raha.,...huku tunajuana kikweli kweli na sio tumekuja kujuana... Ukitaka tusikuboe usije chit chat, ishia jukwaa la siasa!
Pole.
Hebu ushangae na wewe my lovely wii, afu mleta sredi mwenyewe mchakachuzi hadi raha, wenzie tuko jf kujifurahisha manake hatuendi bar lol... Uwe serious jukwaa la siasa na chit chat pia jamani? No bana!mambo vp my wii!siriac ishu na chit chat wapi na wapi lol!
Hehehe!mtaitana majina yote!
na ndoa hazidumu ng'o!
Hujanionea sweetie husband wangu? Namtafuta , popote utakaponionea niitie shem langu!SL,
huna dogo!...
Huwa wanaboa kikweli!!!kiushamba flani wanaletaga katika threds za watu mpaka huwa najiuliza watu humu JF wamekuja kujuana au vipi?
HahahahaaaaaaHahaha!
Uko serious mpaka raha.,...huku tunajuana kikweli kweli na sio tumekuja kujuana... Ukitaka tusikuboe usije chit chat, ishia jukwaa la siasa!
Pole.
Hebu ushangae na wewe my lovely wii, afu mleta sredi mwenyewe mchakachuzi hadi raha, wenzie tuko jf kujifurahisha manake hatuendi bar lol... Uwe serious jukwaa la siasa na chit chat pia jamani? No bana!
Wifi mzima wewe? How is my braza Rejao?
Dah hata mimi namtafuta wife sijamuona tangu mchana....Ila naamini Canta atakuwa amemuona mahali....Hujanionea sweetie husband wangu? Namtafuta , popote utakaponionea niitie shem langu!
Loldah, nimeamua kuhamia jukwaa la siasa, sayansi na gadget.
Hi Canta....Niko poa swty lov,huyo mtoa mada ndio kbs kasalit uzi wake lol!kaka yako hajambo kbs anakupa hi za kutosha!shem wangu Nitty mzima!
Hahahahahahaaaa! Erick umeua,!...eti wana wajukuu 150 lol... Watu wana mahasira ya maisha wanataka kutuambukiza na sisi, hawajui hatutaki msongamano ndio mana tumeweka kituo chit chat....Hahahahaaaaaa
Sema mamamaaaaaaaaaa
Kwani wamelazimishwa humu?????????
Kwanza wanaleta kiwingu tuuuuuuu
Nawashangaa wanatafuta nini Chit Chat wakati wana Wajukuu 150?
Hahahahaaaaa
Ponda raha na JF ChitChat!!!!!
Km vipi unapotea kimyakimya tu myao wa tunduru humu hakukufaiii na kumbuka majukwaa ni mengi sanaaaa ndo maana ambao hatuko serious tumekuja huku lol
Ushaboa jamiiiii
Hi Canta....
Miss u shem wangu
Mzima kabisa wifi nae pia anakusalim, mwambie kaka salam zimefika nimezipokea kwa mikono miwili...Niko poa swty lov,huyo mtoa mada ndio kbs kasalit uzi wake lol!kaka yako hajambo kbs anakupa hi za kutosha!shem wangu Nitty mzima!
Chit chat OYEEEEEE!Hahahahahahaaaa! Erick umeua,!...eti wana wajukuu 150 lol... Watu wana mahasira ya maisha wanataka kutuambukiza na sisi, hawajui hatutaki msongamano ndio mana tumeweka kituo chit chat....
Chit chat OYEEEEEE!