Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

toka jpm amekufa huyu mzee,mshana,na wengine wameambujizwa ule ujinga wa duggai.halafu yeye akapona.

Tena Member wakongwe kabisa,lakini unashangaa sasa hivi wamekuwa kama hawa Members wa siku hizi utoto mwingi kuliko kujenga hoja.Sasa hivi huoni tena ile nguvu ya hoja.
 
Habari za mchana mkuu, umepata lunch kweli??

Nikuulize wewe unaeshindwa kusimamia hoja unaishia kutukana.Hasira zako za maisha peleka huko,usiletee watu usiowafahamu.Mtu mzima unatukanaje pengine ni Mke/Mume wa mtu na watoto.Punguza Utoto
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Mimi nataka mkuu wa kuzimu amuongezee kuni nyingi kwenye moto maana kaua watu wengi huyo jangili unayemtetea
 
Nikuulize wewe unaeshindwa kusimamia hoja unaishia kutukana.Hasira zako za maisha peleka huko,usiletee watu usiowafahamu.Mtu mzima unatukanaje pengine ni Mke/Mume wa mtu na watoto.Punguza Utoto
Leo umekunya kweli??? Samahani lakn.
 
Kabla ya yote waje Tume ya Uchaguzi na genge lao, bunge la supika Ndunga..na wabunge wote wanaojijua hawakuingia kihalali ni wezi wa haki. Watanabe masamaha wananchi labka kitaeleweka.
Katiba ifuatwe na kuwepo tume huru itakayoshirikisha wote. !!!
 
Usijitoe ufahamu kwa kuniita ufipa, Hapa hoja ni kama kuna umuhimu wa kumwombea mwendazake katili...

Je kuna sababu yoyote ya kumwombea dikteta?
We jizi bado unalia lia tu huachi kutukanana na waliokufa?

Magufuli alikutimua kwa vyeti feki nini?
 
Magufuli amekufa hakika hali ni nzuri Sana. Hakuna kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa kinateka na kuua watu. Nafasi za kazi 9000 zimetangazwa vijana wetu watajiriwa. Wawekezaji wanakuja wanaleta mtaji na ajira zitatengenezwa. Vyama vya upinzani vinafanya mikutano ya ndani.

MWENDAZAKE should continue to Rot In Hell

Yako mengi sana yamefanyika ndani ya siku 100. NANI KAMA MAMA?
Let his followers also go and rot together.
 
Magufuli Mwenyewe alishindwa kuwathibiti hawa watu .... walikuepo watu wengi walioonea watu wametesa watu wengi...sio hao alina Sabaya tu...Kwenye Utumishi wa Umma watu walizushiwa Ni chadema na kunyanyaswa sana....
Hakushindwa kuwadhibiti bali ali encourage tabia za kikatiri kwa ku reward wakatili. Mrisho gambo alipandishwa cheo kuwa mkuu wa mkoa baada ya kufanya kazi nzuri ya Jiwe( kunyanyasa wapinzani), hivyo hivyo kwa Ali Hapi na akina Muro. Godwin Gondwe baada ya kuhujumu habari za wapinzani akiwa ITV akapewa ukuu wa wilaya Handeni. Kwa hiyo unaweza kuona jinsi alivyokuwa akifurahishwa na vitendo hivyo.
 
Usijitoe ufahamu kwa kuniita ufipa, Hapa hoja ni kama kuna umuhimu wa kumwombea mwendazake katili...

Je kuna sababu yoyote ya kumwombea dikteta?

Nakuuliza tena kwa hiyo sasa hivi huna haja tena na Mgombea kutoka Ufipani kura zote kwa Samia ambaye ni CCM siyo?
 
Back
Top Bottom