Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Dawa ni kunywa Tusker haswa za bariiiidi...Kesho yake mwepesiiiii... No Mning'inio no H/O... Ila usizidishe Tusker 10....
Kwa maana hiyo dawa ya Pombe yoyote ili kupunguza makali yake ni LIMAO/NDIMU.
Siku hizi kila nikipiga mtungi bia mbili au tatu, naamka na hangover kali sana,na kuacha kunywa sifikirii kwa sasa.Ipo kweli dawa yake tofauti na kuacha?
Piga tena mbili za bariiidi asubuhi hiyohiyo! lol!
Siku hizi kila nikipiga mtungi bia mbili au tatu, naamka na hangover kali sana,na kuacha kunywa sifikirii kwa sasa.Ipo kweli dawa yake tofauti na kuacha?
Unakunywa bia gani kiasi cha bia mbili or tatu kukupa hangover wewe? nakushauri achaa huziwezi!
Or kama unazigida kikwelikweli......asubuhi kuna kitu inaitwa SAFARI WATER...new from TBL.....itandike hiyo chupa moja au simple zaidi....ndizi mbivu moja tu ina maliza kila kitu! then twanga supu ya moto ya utumbo!
Duh!!! Ila kweli BSNdugu yangu kwanini kuendelea na mateso hayo? Omba Mungu akuondolee hamu ya kunywa hizo pombe zinazokutesa.
Sijakupata vema mkuu..dawa yake ni kuondoa lock