Ipo dawa ya hangover?

Omumura

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
476
Likes
2
Points
35

Omumura

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
476 2 35
Siku hizi kila nikipiga mtungi bia mbili au tatu, naamka na hangover kali sana,na kuacha kunywa sifikirii kwa sasa.Ipo kweli dawa yake tofauti na kuacha?
 
Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
6,761
Likes
8,236
Points
280

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
6,761 8,236 280
Omumura, inaaminika kama umepiga mtungi, kabla ya kulala, kunywa glass angalau mbili za maji ya baridi. Huwa inasaidia At least mimi huwa nafanya hivyo na asubuhi naamka fresh tu regardless nililamba ngapi jana yake...
 
Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
887
Likes
15
Points
35

Freetown

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
887 15 35
Siku hizi kila nikipiga mtungi bia mbili au tatu, naamka na hangover kali sana,na kuacha kunywa sifikirii kwa sasa.Ipo kweli dawa yake tofauti na kuacha?
Ukiamka asubuhi kabla ya kupiga mswaki piga nusu lita ya maji baridi, baada ya kama nusu saa mambo yanakua poa. kuzimua haisaidii sana hiyo ni sawa na ule msemo wa kiingereza -stay drunk to prevent hangover
sasa utakuwa hivyo mpaka lini?
 
Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,306
Likes
790
Points
280

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,306 790 280
Maji kabla ya kualala ndo dawa, sio lazima yawe ya baridi. Matatizo mengi ya hangover hasa kicha kuuma yanatokana na Dehydration.
 
Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,973
Likes
120
Points
145

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,973 120 145
Maji ya baridi sana yanasaidia kunywa kabla ya kulala na kunywa pindi uamkapo hapo unaendeleza libeneke kama kawa.
 
Next Level

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2008
Messages
3,158
Likes
21
Points
135

Next Level

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2008
3,158 21 135
Unakunywa bia gani kiasi cha bia mbili or tatu kukupa hangover wewe? nakushauri achaa huziwezi!

Or kama unazigida kikwelikweli......asubuhi kuna kitu inaitwa SAFARI WATER...new from TBL.....itandike hiyo chupa moja au simple zaidi....ndizi mbivu moja tu ina maliza kila kitu! then twanga supu ya moto ya utumbo!
 
Binti Sayuni

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
357
Likes
7
Points
35

Binti Sayuni

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
357 7 35
Unakunywa bia gani kiasi cha bia mbili or tatu kukupa hangover wewe? nakushauri achaa huziwezi!

Or kama unazigida kikwelikweli......asubuhi kuna kitu inaitwa SAFARI WATER...new from TBL.....itandike hiyo chupa moja au simple zaidi....ndizi mbivu moja tu ina maliza kila kitu! then twanga supu ya moto ya utumbo!
Shida yooooote hii ya nini kwani asipokunywa anapungukiwa na nini? Achukuwe ushauri wako uliotangulia
 
Forum statistics

Threads 1,191,688
Members 451,730
Posts 27,717,611