Ipitie mbinu ya watawala mashuhuri duniani.

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,495
2,043
Ktk nchi mbovu kama zetu ukiendekeza demokrasia hamfiki mbali. Gadafi,fidel,mao,zenawi,washngton walifanikiwa sana kwa kutoendekeza haki za binadam waovu.
 
Udictator bila mipango na mikakati makini ni kazi bure,hao ulio wataja hakili zao zilikuwa kubwa sana, waliweka mikakati Bora na walitengeneza sera nzuri kwa taifa lao, we need dictator with large brain but not empty head dictator
 
Nikiangalia nchi zote zilizoendelea mpaka kufikia utawala wa kidemokrasia walianza kwa kutawala kwa mkono wa chuma angalia ujerumani china
 
Magufuli akaze uzi hapo hapo, na wala asiache kunywa maji (kuinyoosha nchi) kwa kuogopa kelele za chura (wapiga dili).
 
Udictator bila mipango na mikakati makini ni kazi bure,hao ulio wataja hakili zao zilikuwa kubwa sana, waliweka mikakati Bora na walitengeneza sera nzuri kwa taifa lao, we need dictator with large brain but not empty head dictator
:(:(:(:(
 
Back
Top Bottom