zote nzuri
Ninaifagilia namba 1 mkuu C6 unasemaje?
safi mkuu MziziMkavu, mie mbili na nne ndo nimezidondokeaNinaifagilia namba 1 mkuu C6 unasemaje?
Hpo mkuu namba 4 nimependa rangi.. ila tai hapana bhana.... habari za kujinyonga mi sifagilii sana
Mie napenda kitu cha Black...... Imetuliaaaaaaaa