Ipi taswila hujengeka Pindi unapo tongoza ama kutongozwa.....

Oh My darling BADILI TABIA. Hivi wajua navokupenda? Nakwambia tena kama ulishawahi pendwa basi hakuna aliyetokea kukupenda kama navyokupenda mimi.

Nakonda kwa mawazo kwa ajili yako,
Usiku silali nakuwaza wewe,
Nikimwona mwanamke yanijia taswira yako,
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi,
Yani BT, huwezi amini kohozi lako kwangu mie ni siagi.

Nikubalie basi nije kwa wazazi wako,
Nikutolee posa nikuoe....
Ukinikatalia sitooa asilani,
Ntakonda kwa mawazo.
Naomba unikubalie mtoto wa mwanamke mwenzio
Unipe nafasi nikudhihirishie penzi langu kwako.
Nakuahidi hutajuta kuwa nami bali utajuta kuchelewa kunijua...............

Nasubiri jibu lako mpenzi (Huku mkono uko mfukoni umeshikilia nyoka aliyekasirika asije akaniumbua)

Yeye anauma kucha
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nafikiria huyu ni walewale tu au kashanitamani thn nampima kama ni dhaifu ntamtupia makombora mpaka mwenyw atanionea aibu na kusepa kama yuko challenging hapo ni kuhakikisha challenge zote nazicounter kiakili na kidiplomasia!!!
 
yehuuuuuuu taswira nimeipata hubby wangu...

ila siri ya familia...

nitakunong'oneza tukiwa wenyewe kwenye suti zetu za kuzaliwa...loh...

Oh My darling BADILI TABIA. Hivi wajua navokupenda? Nakwambia tena kama ulishawahi pendwa basi hakuna aliyetokea kukupenda kama navyokupenda mimi.

Nakonda kwa mawazo kwa ajili yako,
Usiku silali nakuwaza wewe,
Nikimwona mwanamke yanijia taswira yako,
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi,
Yani BT, huwezi amini kohozi lako kwangu mie ni siagi.

Nikubalie basi nije kwa wazazi wako,
Nikutolee posa nikuoe....
Ukinikatalia sitooa asilani,
Ntakonda kwa mawazo.
Naomba unikubalie mtoto wa mwanamke mwenzio
Unipe nafasi nikudhihirishie penzi langu kwako.
Nakuahidi hutajuta kuwa nami bali utajuta kuchelewa kunijua...............

Nasubiri jibu lako mpenzi (Huku mkono uko mfukoni umeshikilia nyoka aliyekasirika asije akaniumbua)
 
Hapa mtu akivamia kambi lazima nimuoteshe busha La 500tsh la mgongoni...

thumb4dfbcbc76b36a.jpg
 
Wee mwamamuke umeolewa au hujaolewa? (halafu kakunja ndita na ukiangalia ana sime panga na fimbo)hilo ni tongozo from wakurya.
 
mwanamke kujiamini. Aende wapi na keshafika hapo

Nashanga,Hana pa kwenda,labda Officini.
Me ndo Madame B bhana,
ukiona mwingine jua huyo ni mtoto wa nje.
Arabela shosti,lazima tuwakomeshe wanaoiba mali zetu,
tutawageuza nyau kazi yao itakuwa kulilia samaki kutwa kucha.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nafikiria huyu ni walewale tu au kashanitamani thn nampima kama ni dhaifu ntamtupia makombora mpaka mwenyw atanionea aibu na kusepa kama yuko challenging hapo ni kuhakikisha challenge zote nazicounter kiakili na kidiplomasia!!!

Mdogo wangu upo??
Unatisha na makombora juu!!!
Ila Lazima waipatepate,
Chezeiya!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom