Ipi taswila hujengeka Pindi unapo tongoza ama kutongozwa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi taswila hujengeka Pindi unapo tongoza ama kutongozwa.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zubedayo_mchuzi, Aug 30, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hapa wadau naomben ukweli,Ni picha ipi inayojijenga ndani Bongo zetu pindi unapo tongoza au kutongozwa.....
  Kwa Mwanamke unapotöngozwa kichwani mwako huwaza nini kikubwa?
  Kwa mwanaume unapotongoza huwa umejenga taswira gani mpaka uchukue uamuzi huo mbali na neno Nakupenda.
  Tiririkeni.
   
 2. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  nawaza nadanganywa!!! yan ni maneno tu!!!!
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Alafu unaendlea kuwepo hapo hapo
   
 4. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  tenah naendelea kuwaza jinsi ya kumdanganya na yeye!!
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ili iwe ngoma droo au
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Me kwanza namuangalia huyo mtongozaji,
  nikiona haeleweki,naachana nae.
   
 7. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,709
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  nawaza kwamba akikubal tu naenda kubutua kopo la komboleraaaaaa
   
 8. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wifi nimekumiss sana
   
 9. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  dia nimekumiss. Shem wangu hajambo?
   
 10. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  khaaaa!! yan wifi mi nimekumis hadi naumwa!!!!
   
 11. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  my hubby me ntakuwa namuangalia na kuchuja kila anachotamka kama vinamake sense au pumba
   
 12. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ahsante my wf nadhani utapona sasa
   
 13. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  yaaan nshapona! hapa nanenepa sasa!!
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Yani hunishindi mimi nilivyokumiss dia wangu,
  Shem wako yupo hapa anagara gara tu kitandani,
  mara ajifunike shuka..,mara ajifunue..,mara akunje miguu..,mara achezee Pc..,mara...ananilii, almradi tu aimalizie Off yake hapa kitandani.
  Saa 7 hii na hamna dalili ya kuamka mtu!!!
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hivi nimeshawahi kukutongoza..??
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mh!! Sina kumbukumbu nzuri,
  Hv wewe ni yule wa Dar,Dom,TA,AraChuga,RockCTY,Mbya,Irng au wa wapi?
  Hebu nikumbushe..!!!
  Ninaweza kukukumbuka.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  Asprin njoo unitongoze tena ili niweze kukoment hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Oh My darling BADILI TABIA. Hivi wajua navokupenda? Nakwambia tena kama ulishawahi pendwa basi hakuna aliyetokea kukupenda kama navyokupenda mimi.

  Nakonda kwa mawazo kwa ajili yako,
  Usiku silali nakuwaza wewe,
  Nikimwona mwanamke yanijia taswira yako,
  Nikinywa maji nakuona kwenye glasi,
  Yani BT, huwezi amini kohozi lako kwangu mie ni siagi.

  Nikubalie basi nije kwa wazazi wako,
  Nikutolee posa nikuoe....
  Ukinikatalia sitooa asilani,
  Ntakonda kwa mawazo.
  Naomba unikubalie mtoto wa mwanamke mwenzio
  Unipe nafasi nikudhihirishie penzi langu kwako.
  Nakuahidi hutajuta kuwa nami bali utajuta kuchelewa kunijua...............

  Nasubiri jibu lako mpenzi (Huku mkono uko mfukoni umeshikilia nyoka aliyekasirika asije akaniumbua)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kama vina make sense ndo unasaliti.
   
 20. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  una bahati shosti usimuamshe muache alale asije akakuaga enda matembezi
   
Loading...