Ipi siri ya kanisa Katoliki kujimilikisha ardhi kubwa kwa jina la Vatican?

Mi zangu ni hizi hapa,70% ya nchi masikini ni Catholic affiliative......nawe weka zako zinazoonesha kwenye kila wa-U.S.A watano,mmoja ni mkatoliki,.......na pia sijasema walioleta ukatoliki ni masikini,bali nchi zinazotawaliwa na wakatoliki ndio masikini ......ushawahi ona mission ya kikatoliki,china,Japan,Australia,Dubai ama Saudi Arabia
View attachment 1821678
Unabisha Nini wakati karibu robo ya wamarekani ni wakatoliki?
Screenshot_20210617-153302.jpg
 
Mhhh katoliki inafata masikini ili kuwasaidia?,toka liingie Kongo na Africa ya Kati,limeondoa umasikini kwa asilimia ngapi?
==============miaka 50,iliopita Arabsd,Indonesia,china,Taiwan walikua kama Africa tu......sema nini,walipigana kiume kua hawataki mambo ya mission Catholism.......
Hebu tuseme ulicho andika ni kweli..

Twambie sasa vice versa yake..

Niwapi palikua na umasiki wakutupwa then dini flan ikaingia mambo yakanyooka?

Then uje na data katika ulimwengu huu ni nchi gani wakatoliki hawapo?
 
Cha kwanza jua Kanisa halifati matariji, Linafata masikini ili kuwasisidia..

Pili ungefanya comaparison ..yaani kama inchi sita masikini ndio kanisa lilipo pia ungeonyesa nchi sita tajiri duniani then sema ni dini gani ipo hapo,
All in all ni wale wale haters ...au huna point ya msingi...

Ukirudi tutajie inch zenye vita zaidi duniani then tupe na dini kuu iliopo katika hizo inchi.
Nchi sita tajiri,mbili zipo middle east huko hakuna ukatoliki,.........nchi zilizobaki zingine napo hawaukumbatii ukatoliki kama latin America na Africa
images%20(22).jpg
 
Hebu tuseme ulicho andika ni kweli..

Twambie sasa vice versa yake..

Niwapi palikua na umasiki wakutupwa then dini flan ikaingia mambo yakanyooka?

Then uje na data katika ulimwengu huu ni nchi gani wakatoliki hawapo?
Mtu mzima unataka mwanaume akutafunie data wakati unaziona?,huamini kua palipo Catholics umasikini unanukia kwa kasi ya ajabu......maaana wao wapo kuchuma mali
 
Cha kwanza jua Kanisa halifati matariji, Linafata masikini ili kuwasisidia..

Pili ungefanya comaparison ..yaani kama inchi sita masikini ndio kanisa lilipo pia ungeonyesa nchi sita tajiri duniani then sema ni dini gani ipo hapo,
All in all ni wale wale haters ...au huna point ya msingi...

Ukirudi tutajie inch zenye vita zaidi duniani then tupe na dini kuu iliopo katika hizo inchi.
Nchi zenye vita duniani ni kama Libya,Iraq,Syria,Palestine........lakini ndio nchi zinazoongoza kupigania rasilimali zao zisitoke nje kizembe kama nchi za kikatoliki zilizotapakaa Africa na Latin America.......uchumi wa Libya ni mara elfu ya uchumi wa nchi yeyote ya kikatoliki Africa kama D.R.C,Mozambique na Cental African Republic,
 
Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali.

Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi.

Mathayo 6:19-20​

“Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba."

Haya mafundisho naona yanakinzana na kile ambacho kanisa linakifanya. Sasa ningependa kujua nini dhamira ya kanisa kumiliki haya maeneo makubwa? Kijijini ni mfano tu, kanisa linamiliki zaidi ya heka mia mbili, za nini zote hizi kama sio ulafi tu na ubinafsi?

Hebu tujulishane nyuma ya mpango huu kuna nini kilichojificha?

Kwanini ardhi isajiliwe kama ni mali ya Serikali ya Vatican?
Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana, Bwana ndiye aliyezitandaza mbingu na ardhi.

1.Nehemiah 9:6
Verse Concepts
“You alone are the Lord.
You have made the heavens,
The heaven of heavens with all their host,
The earth and all that is on it,
The seas and all that is in them.
You give life to all of them
And the heavenly host bows down before You
2.
Psalm 8:3-8
When I consider Your heavens, the work of Your fingers,
The moon and the stars, which You have ordained;
What is man that You take thought of him,
And the son of man that You care for him?
Yet You have made him a little lower than God,
And You crown him with glory and majesty!

You make him to rule over the works of Your hands;
You have put all things under his feet,
All sheep and oxen,
And also the beasts of the field,
The birds of the heavens and the fish of the sea,
Whatever passes through the paths of the seas.
3.
Isaiah 42:5
Verse Concepts
Thus says God the Lord,
Who created the heavens and stretched them out,
Who spread out the earth and its offspring,
Who gives breath to the people on it
And spirit to those who walk in it,
 
Sio kweli kwamba ardhi ya katoliki huwa mali ya vatican. mali miliki ya vatican ni pale tu kwenye embassy yao, na hiyo ni diplomatically. kwingien kote kanisa hili limesajiliwa na hadhi sawa tu kama makanisa mengine na wanapomiliki humiliki kama NGOs zingine tu. isipokuwa, ujanja wao huwa wanafanya ni kwenda pembezoni mwa mji mapema kabisa wanawekak mission huko na baadaye mji huwa unawafuata ndio maana unaweza kuona kama wanamiliki maeneo makubwa, ni kwamba wanakuwa waliyapata mapema maeneo ambayo ninyi mlikuwa mnayadharau na kuyaona ni bush. wanajenga kanisa, shule n.k. mimi sio mkatoliki lakini kati ya makanisa yanayoleta maendeleo ya kweli wakatoliki ni namba moja. pamoja na kwamba hawajaokoka na hawatakuja kumwona Mungu hadi waache kuabudu sanamu na maria.
Umeeleza vizuri sana lakini hujatenda haki katika maelezo yako ya mwisho,nakushauri uyaondoe,kumbuka kanisa Katoliki ndio chanzo cha makanisa mengine yote,tafadhali sana.
 
Nchi sita tajiri,mbili zipo middle east huko hakuna ukatoliki,.........nchi zilizobaki zingine napo hawaukumbatii ukatoliki kama latin America na AfricaView attachment 1821701
We jamaa ni mbishi Sana. Hiv hiz nchi zilizojaa wakatoliki Kama wote ni maskini?

Unaweza linganisha na vinchi vyako vya kiarabu Kama Syria, Yemen,nk nk
Screenshot_20210617-154334.jpg
Screenshot_20210617-154154.jpg
 
Mtu mzima unataka mwanaume akutafunie data wakati unaziona?,huamini kua palipo Catholics umasikini unanukia kwa kasi ya ajabu......maaana wao wapo kuchuma mali
Kijana tazama hapo Kama Kuna maskini
Screenshot_20210617-154334.jpg
 
Kuna uhusiano wa nchi tawaliwa na kanisa katoliki na umasikini uliotopea kwa raia wake..,.hutumia mwamvuli wa dini kuwakandamiza watu.....katoliki ipo sana Africa na latin America....huko ndio kwenye masikini wenyewe sasa.
Europe katoliki ipo Italy sana tena wengi ni non believer.......ushawahi ona mission ya katoliki ipo U.S.A,U.k,china,Japan ama nchi za kiarabu?
Zipo lakini hawaishi kwa kujitangaza wanazingatia zaidi huduma kwa watu maskini ambako nyie matajiri hamuendi.
 
naona spleen amekimbia baada ya kugundua nchi zenye wakatoliki wengi ndo nchi tajiri duniani.


Hebu atazame vzr hii list. Naona wale G7 wa dunia wamejaa humo wakiongozwa na USA, France,Italy, Germany.

Bado sijataja easten Catholics ( Orthodox Church) waliotawala easten Europe na Urusi
Screenshot_20210617-154334.jpg
Screenshot_20210617-154154.jpg
 
spleen yupo anaangalia DRC ambayo ni failed state na Ina mfumo mbovu na kusingia ukatoliki.

Tazama Tanzania mikoa yenye ahueni Kama Kilimanjaro, njombe,morogoro,songwe ndo Ina idadi kubwa ya wakatoliki

Tazama Lindi iliyochikilia umwinyi na uislam ilivyo katika Lindi la umaskini
images%20(1).jpg
 
Burundi, Mozambique, DRC, Congo Brazaville, Afghanstan...hawa hawana waislamu eeh? Anyway, mimi ninavyojua kutafuta excuse ni kujifariji nafsi ila sio dawa ya tatizo.
Na Tanzania je? Kenya? Rwanda? Hii mada unavyoiweka inaonyesha tatizo lile lile linalotusumbua...ufinyu wetu wa fikra. Na kufikiri dawa ni kubadilisha wananchi wote tuwe dini moja ya kiislamu.
Hilo halitakaa kutokea. Maendeleo tuamue tuyatafute kwa nguvu kama raia. Tukianza kuendekeza inferiority complexes zetu, tutakuwa tunajidanganya nafsi.
By the way, hizi dini zipo toka karne na karne na wamepigana vita kama vyote na hakuwahi kutokea mshindi. Unafikiri ni kwanini? Fanya kazi ndio msingi wa maendeleo. Muabudu mwenyezi Mungu ndio chanzo cha hekima na maarifa. Nyingine hizi hadithi ambazo hazina mbele wala nyuma
Shida moja naiona ni kwamba kanisa limewekeza sana kwa watu maskini na nchi maskini limejenga huko huduma za jamii kama mashule,vyuo,hospital,na mambo mengine mengi,kanisa kanisa lisingeenda kufanya hayo maendeleo maeneo sijui hali yao ingekuwaje ,kwa uhakika hao watu lazima wakatoliki kwa ndio waliopo hapo(minus catholic investments=zero development in that specific area) baadaa ya wanasingiziwa wao sasa kwamba ndio wamepeleka umaskini,chukulia maeneo maarufu ya mission Tanzania hii wengi tunayajua,then assume unaondoa kila kitu walichofanya wao since then,pangekuwa na nini?kumbuka maeneo hayo kwa sasa ndio yanaongoza kwa kutoa wasomi wengi,je serikali ingewekeza sawa na ilivyo sasa katika maeneo hayo hayo?
 
spleen yupo anaangalia DRC ambayo ni failed state na Ina mfumo mbovu na kusingia ukatoliki.

Tazama Tanzania mikoa yenye ahueni Kama Kilimanjaro, njombe,morogoro,songwe ndo Ina idadi kubwa ya wakatoliki

Tazama Lindi iliyochikilia umwinyi na uislam ilivyo katika Lindi la umaskiniView attachment 1821720
Kagera,Mtwara,Ruvuma mbona hujaziweka kiongozi?
 
Kuna uhusiano wa nchi tawaliwa na kanisa katoliki na umasikini uliotopea kwa raia wake..,.hutumia mwamvuli wa dini kuwakandamiza watu.....katoliki ipo sana Africa na latin America....huko ndio kwenye masikini wenyewe sasa.
Europe katoliki ipo Italy sana tena wengi ni non believer.......ushawahi ona mission ya katoliki ipo U.S.A,U.k,china,Japan ama nchi za kiarabu?
Aisee wewe ni muongo sanaa sana sana. Sanaaaa. Tena hapo usa ndo usiseme. Na yanawasaidia wahitaji wengine bila ubaguzi mpk nyumba za kuishi. Aibu yako
 
Hilo mbona linajulikana,na wala si mawazo yangu,hii ni fact kabisa............
Ona hapo nchi ya kwanza hadi ya sita Afrixa zinazoongoza kwa umasikini ni Catholic empire View attachment 1821563
Kwahiyo kwenye mtihani ukiulizwa sababu ya hata mataifa kuwa masikini ni kwasababu walikua chini ya mandatory ya catholic?
 
Back
Top Bottom