Ipi simu kali kati ya Samsung S8+ na Samsung M31

Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.

Simu iliyokuwa inaperform vizuri na Android 7 na unaipa score over simu inayoperfom na android 10 ?.

Unajua maana ya improvement , ni both Software and hardware or otherwise tecnolojia inarudi kinyumenyume.



From JF App
mkuu kwa kawaida flagship huwa zinatengenezwa kumatch mahitaji hata ya miaka 4 mbele.ndio maana ni nadra sana kujuta ukitumia s6 mwaka huu kuliko kutumi j7.labda kama in tatizo la awali.

hizi simu nje ya flagship zimetengenezwa kwa malengo tofauti-charge au umbo nk
perfomance ni kati,ndio sababu hata bei ni kati.

hii s8 bado ni simu bora kwa hiyo m31 kila sekta,hata hiyo charge tukipunguza resoltn ya kioo cha s8 unaweza ukashangaa sana.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mm hata nikitaka kununua simu...hela namkabidhi tu chief mkwawa kwa haya mambo sio mbobezi tu bali amekubuhu kabisa.
Mi nazifahamu kwa kiasi kikubwa maana muda mwingi napenda kusoma sana technolojia za simu, ndo maana nimesema kuwa, WATANZANIA WENGI TUNAPENDA QUANTITY (UWINGI,UKUBWA,UZAJO) BADALA YA QUALITY (UBORA)
 
Flagship mara nyingi kwa samsung zinatoka mara moja kwa mwaka hivyo unakuta vichwa vimekaa muda kuunda hiyo simu kuhakikisha wanawafurahisha wateja wao ndio maana unakuta inaweza ikawa na performance nzuri ata kuliko midrange ya miaka mitatu ijayo kwani hizi midrange zinatoka nyingi mnooo wanazitoa ili kila mteja wampate. Flagship utakuta ina best display, camera,chipset ila sasa kwa kuwa ni ya zamani kidogo ndio maana upande wa battery unakuta inazidiwa na latest midrange
 
Back
Top Bottom