Ipi sahihi: Pole kwa kazi au hongera kwa kazi

Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA

Nawasilisha
Kuna wanaume wapuuzi sana, wana tabia za kike.

Mwanaume unaambiwa pole kwa kazi, halafu anajibu " bado sijapoa". Upuuzi wa hali ya juu.
 
Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA

Nawasilisha
Jibu lako wewe ni lipi?
Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA

Nawasilisha
 
Nilivyoona hapa tofauti kubwa kati ya Tanzania na Kenya.
Unaingia ofisini TZ, wenyeji waliolala usingizi wanashtuka unawaambia: Poleni ya kazi! Kumbe wanajibu kwa sauti moja: ASANTE!!

Ingia ofisini Kenya, hawalali fofofo kiasi hiki, waambie "Pole ya kazi" na wanakutazama kimya tu wakishangaa: Anataka nini huyu??
 
Back
Top Bottom