Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,587
- 9,324
Kuna sehemu nimeongelea masuala ya lugha aisee au umenichanganya na mtu mwingine 😳😳Lugha gani tena? Hapo umeambiwa nchi 54, au unataka kusema Kenya wanazungumza zaidi kiingereza kuliko Uganda, Zambia, Zimbabwe, ghana, nigeria?
Tutafute sababu halisi