Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

TVS HLX 150 ziko vizuri ila mapungufu yake..ukiwa speed sana dashboard inapiga sana kelele..halafu inatabia ya kumisimisi..na kuna wakati baadhi ya gia dizain kama zinaruka.
 
125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
navipi juu ya HONDA ACE 125??
 
Back
Top Bottom