Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Not worth it kwa muono wangu. Ina ram na storage nzuri na kubwa Ila soc Ya kizamani, unless bei ni chini ya laki
Chief-Mkwawa
huyu mnyama wa SANTIN ACTOMA ACE kwa 130K atafaa ukilinganisha na simu nyingine au ni toy tu?
 
Attachments

  • Screenshot_20210304-034838.png
    Screenshot_20210304-034838.png
    184.2 KB · Views: 8
Natumia matoleo ya Phantom za Tecno 6+, 8 na 9 sijawahi kujuta zinatunza chaji Camera swafi hadi giza totoro inatoa picha, na Laini zimejaa Mpesa, Halopesa na Airtel money, simu haimalizi chaji hovyohovyo network hadi maporini wa Sumsang na Iphone huwa wananionea gere, na sitoacha Tecno nilihama Samsung kwasababu ya chaji na network maporini haziko poa

Kwa kuwa wewe kwako simu ni kukaa na charge mda mrefu kupiga picha usiku na kushika mtandao una haki ya kuendelea kung’ang’ana na tecno

Ila tecno infinix oppo za mid range cjui xtigi au itel hapo hakuna simu kuna vikundi vya wahuni
 
Oppo ipo level ya i phone hizi oppo zenye matoleo ya mbele hata hizo i phone old vision hazioni ndani usichukulie jina kwa sababu ni oppo asia hizo sm zipo juu sn

Unajua sehemu mchina aliyowapigia wabongo na waswahili ni hapa na ndio maana unakuta mjinga kama huyu na baba joseph wanajaribu kulinganisha flagship phones ambazo zinakuwa na best panel na mid range phones
 
Anyways mm sioni kma hzo A or C series ni nzuri. Ni vyema ujichange tu uchukue 8 or 9 ya kawaida or Note series. Mwaka jana November nilimchukulia sister wangu Redmi Note 8 kwa 430,000. Ni simu bora sana kuliko hzo A na C kwa tofauti ndogo tu ya bei. Kwanza ni USB C, display ni 1080p, camera ni nzuri na ina glass back.

Sent using Jamii Forums mobile app
wapi ulichukua mkuu
 
Hakika chief xiaomi sio wa kawaida kabisa mzee, hapa kwa sasa nina simu zao mbili tv yao, saa yao ile haylou solar l05 jana nimepokea bag yangu ya xiaomi ndio balaa kabisa, nimeplace oda ya vitu vyao vingine kifupi wanajua, siku ya kwanza tu kushika product yao mika ile nikajikuta naanzisha uzi wa xiaom kabisa kaka
Mkuu TV nchi ngapi na ni beii ganiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa wewe kwako simu ni kukaa na charge mda mrefu kupiga picha usiku na kushika mtandao una haki ya kuendelea kung’ang’ana na tecno

Ila tecno infinix oppo za mid range cjui xtigi au itel hapo hakuna simu kuna vikundi vya wahuni
Kwanza si kweli anadanganya..
1. Tecno hazina camera nzuri compare na brand nzuri na hii ni common sense inajulikana na sababu Mpaka Gsmarena zinakua reviewed tunaona quality yake kitaalamu na nyingi zinatumia camera fake, simu ina camera 3 lakini 1 tu inafanya kazi. Na simu zinazopiga vizuri kwenye low-light zina kitu kinaitwa OIS, optical image stabilization, kwa Tecno huo ni msamiati mgeni.

2. Linapokuja suala Zima la modem na reception Qualcomm Hana Mpinzani, mtu anaweza nunua simu refurb zimechezewa akaja kulala Mika kuhusu signal, Kampuni zote Duniani za Soc iwe Exynos ya Samsung, Kirin ya Huawei, A series ya Apple mpaka Hao Mediatek ili watengeneze modem lazima wagonge hodi kwa Qualcomm wapewe tech za modem. Kuna kipindi Apple alimkacha Qualcomm akachukua modem za Intel ghafla simu zao zikashuka speed vibaya mno na reception mbovu.

3. Ukaaji chaji Pia Tecno na kina Infinix hawafikii wenzao, ndio zinakaa na chaji siku hizi sema compare na specs bado, mfano wao Wana weka vioo hovyo vya 720p, processor dhaifu etc lakini unakuta simu zao hazikaji na chaji ama zinakaa sawa na simu za 1080p na processor kali.

Ikitokea kampuni kubwa Inaweka kioo chenye resolution ndogo na processor dhaifu unapata ukaaji chaji kama huu
gsmarena_957.jpg
 
Hata network Wenye Iphone na Sumsang huwa wananiazima hmtukiwa maporini, Tatizo lako umekariri tu hebu niambie ambacho Iphone au Samsung unaweza kufanya na Tecno ikashindwa
 
Kwanza si kweli anadanganya..
1. Tecno hazina camera nzuri compare na brand nzuri na hii ni common sense inajulikana na sababu Mpaka Gsmarena zinakua reviewed tunaona quality yake kitaalamu na nyingi zinatumia camera fake, simu ina camera 3 lakini 1 tu inafanya kazi. Na simu zinazopiga vizuri kwenye low-light zina kitu kinaitwa OIS, optical image stabilization, kwa Tecno huo ni msamiati mgeni.

2. Linapokuja suala Zima la modem na reception Qualcomm Hana Mpinzani, mtu anaweza nunua simu refurb zimechezewa akaja kulala Mika kuhusu signal, Kampuni zote Duniani za Soc iwe Exynos ya Samsung, Kirin ya Huawei, A series ya Apple mpaka Hao Mediatek ili watengeneze modem lazima wagonge hodi kwa Qualcomm wapewe tech za modem. Kuna kipindi Apple alimkacha Qualcomm akachukua modem za Intel ghafla simu zao zikashuka speed vibaya mno na reception mbovu.

3. Ukaaji chaji Pia Tecno na kina Infinix hawafikii wenzao, ndio zinakaa na chaji siku hizi sema compare na specs bado, mfano wao Wana weka vioo hovyo vya 720p, processor dhaifu etc lakini unakuta simu zao hazikaji na chaji ama zinakaa sawa na simu za 1080p na processor kali.

Ikitokea kampuni kubwa Inaweka kioo chenye resolution ndogo na processor dhaifu unapata ukaaji chaji kama huu
gsmarena_957.jpg
Mkuu Chief-Mkwawa naomba msaada wa uchambuzi wa hii simu nimeikuta AliExpress je kwa matumizi ya kawaida inafaa ? Na pia kuhusu network kwa bongo.
Asante
Simu: MEIZU 16Xs
-13203880771859328826.jpg

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom