Duh kmbe nimegusa ikuluumeona uje unye mavi yako ya kirangi hapa? hujaona sehemu zinginye za kunya?
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.
Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu
Kutuma nje ta Bongo siku zote ni gharama kwani pale inakuwa kama unanunua dola. Kupokea ni rahisi zaidi kwani inakuwa kama unauza dola.
MoneyGram naona unapokea kiasi kamili. makato ya moneygram na western union naona yanalingana but western union wanakupa kiwango kidogo.
Ikoje hii??Mwambie akutumie kwa WorldRemit. Wewe tumia Tigopesa kupokea,na ukipokea pesa kwa njia WorldRemit kupitia Tigopesa kwa mara ya kwanza kuanzia Laki 3 unapata na bonus ya elf 20.
Send wave/Word Remit/Segovia.
Zote hizo pesa zinaingia moja kwa kwa mpesa yako.
Haijalishi. Kama unatuma Russia ina maana wakipokea fedha zako wanaangalia rate ya kubadilisha fedha ya kule vs shilingi yetu.Kuna mdau mmoja kasema kutuma nje ni kama unanunua dollar ila kupokea utapa nyingi kwani unakuwa kama unauza dollar , japo sina clear understanding ya nini hasa alimaanisha mana mimi nilikuwa natuma Russia na huko hawatumii dollar kwani pesa zangu zote zilikuwa exchanged to tzs then zikatumwa huko
Kama anayekutumia yuko Marekani, atumie app inaitwa money wave na wewe lazima uwe na voda, kwani inaendana na mpesa tu.Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.
Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu
mpesa inatumika na inaingia direct kwenye simu yako wewe ni kwenda kutoa kwa wakala ni 0 second anakutumia inafikaKuna service nmesahau jina ila inahusisha mpesa, kuna jamaa yangu amewahi pokea thru mpesa from canada
Mkuu samahani,INA Maana Voda inapatikana hata Ukiwa Marekani?Kama anayekutumia yuko Marekani, atumie app inaitwa money wave na wewe lazima uwe na voda, kwani inaendana na mpesa tu.
Nilichoeleza ni kuwa, aliyeko Marekani(kama ndie anayetuma pesa Tz) awe na hiyo app money wave, aliyeko Tz (mpokea pesa) lazima awe anatumia voda (mpesa).Mkuu samahani,INA Maana Voda inapatikana hata Ukiwa Marekani?
Au ni Mtandao gani unapatikana ukiwa Marekani,Ulaya?