KingKacha
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 118
- 119
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.
Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu