Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors.

1.Athlete grill yake ni ya mesh au chekeche while royal saloon grill yake ni ya horizontal stripes.

2.Tail lights za Athlete ni za Led dual rings while Royal saloon ni Led horizontal stripes. In short taa za Athlete ziko more sporty looking.

3.Rims za Athlete zina solid alloy spokes while Royal salon ni thin alloy spokes.

4.Interiors za Athlete nyingi ni Ash Grey while za Royal saloon ni Wood furnished (za rangi ya mbao)
@ Extrovert: Naomba uniruhusu niku PM mkuu!
 
L

Kwa ufahamu wako unadhani IQ test ni academic test sivyo?
Acha papara dogo, jifunze kuwa na subra.
Mihemko itakuumbua aisee
Huna lolote nakumbuka huko nyuma tumewahi bishana sana kwenye mada flani karibu pm tufanye ligi za kiume barabarani majibu uyalete hapa jf kwa wenzako mimi ni dogo sawa ila umenipita miaka tu nothing else unajionaga master hapa jf kumbe huna kitu takataka kama takataka nyingine
 
Hah hah haaaa. Hoja hujibiwa kwa hoja, sio matusi, dhihaka wala kashfa.
Tuliza papara, acha kupelekeshwa puta na hisia, wapende hata ambao wanakuudhi, kamwe baraka hazitoondoka nyumbani kwako.
Samehe badala ya kutukana.
Be blessed
Sikufunzwa kuheshimu wanaojifanya wanaelewa kila kitu kumbe in real life ni takataka kama takataka nyingine hoja yangu nimekuambia karibu tufanye ligi majibu uyalete hapa jf au hata gari huna mkuu unabwabwaja tu kufurahisha watu hapa jf
 
Hii mada ya hizi gari utofauti naona ni kwenye suspension zake. Athletes suspension zake ni stiff wakati royal suspension zake ni soft kidogo pia engine size moja ni 2.5l na athlete ni 3.0l. Ila tofauti zingine ni muundo wa gari lenyewe kuanzia ndani kuja nje.
 
Hz gari zinakatisha uhai wa vijana wengi wadogo i don't knw why?
Gari nyepesi sana kuchanganya na inashawishi sana ukiwa barabarani.. nguvu na speed kali sana.
Wajuzi wanasema ili uimudu vizuri isiwe gari yako ya kwanza au ya pili kuendesha. Means uwe mzoefu wa kutosha kwenye magari.
Vijana wanaanza kazi fasta kanunua hiyo ndinga...enda kula bata mtungi wa kutosha...unarudi safari ndefu nyt kali unategemea nn?
 
Nilicho notes na hiki, zinakimbia sana na zikiwa zimetulia ( zipp stable ). Ila sasa brake kali zinapokuwa kwenye speed kali kwa madereva wadogo ambao macho juu hawana skilis, ndio zinapo waacha hapo na kuwamalizia hapo. Mala kadhaa nimeisha kimbiza Athlete tp 160 to 180.. nilipo jaribu kupiga brake ndio nikaona hiyo kitu, inakuwa kama inataka kukutupa hivi 😀😀😀
Weee ni mzoefu sasa imagine ndo kijana kaanza maisha kanunua hiyo kitu kwenda kula nayo bata.
Wajuzi wanasema ukitaka kuendesha hiyo gari isiwe gari yako ya kwanza au ya pili
 
Kuwahi kufika nyumbani 🙄
 
Weee ni mzoefu sasa imagine ndo kijana kaanza maisha kanunua hiyo kitu kwenda kula nayo bata.
Wajuzi wanasema ukitaka kuendesha hiyo gari isiwe gari yako ya kwanza au ya pili
Vijana huwa hawasumbui akili ya kufikiria wanapo endesha na ku note tabia za gari, katika mazingira tofauti tofauti. Mtu hajawai notes tabia ya gari flani inapokuwa kwenye zaidi ya 120+ na inapokuwa chini 120-.. anapuyanga tu, Msikanyo 😀 anashika akama ana mtomasa demu wake, kwanini asikufe au kupatwa na ajari
 
Gari nyepesi sana kuchanganya na inashawishi sana ukiwa barabarani.. nguvu na speed kali sana.
Wajuzi wanasema ili uimudu vizuri isiwe gari yako ya kwanza au ya pili kuendesha. Means uwe mzoefu wa kutosha kwenye magari.
Vijana wanaanza kazi fasta kanunua hiyo ndinga...enda kula bata mtungi wa kutosha...unarudi safari ndefu nyt kali unategemea nn?
Mkuu uko sahihi 120%.
 
Hii mada ya hizi gari utofauti naona ni kwenye suspension zake. Athletes suspension zake ni stiff wakati royal suspension zake ni soft kidogo pia engine size moja ni 2.5l na athlete ni 3.0l. Ila tofauti zingine ni muundo wa gari lenyewe kuanzia ndani kuja nje.
Engine zote sawa. Yoyote kati ya hizo yaweza kuwa 2.5L 4gr or 3.0L 3gr. Tofauti kazielezea Extrovert vizuri sana.
In short Athlete ni sport, Royal ni luxury/grown up version.
 
Nilicho notes na hiki, zinakimbia sana na zikiwa zimetulia ( zipp stable ). Ila sasa brake kali zinapokuwa kwenye speed kali kwa madereva wadogo ambao macho juu hawana skilis, ndio zinapo waacha hapo na kuwamalizia hapo. Mala kadhaa nimeisha kimbiza Athlete tp 160 to 180.. nilipo jaribu kupiga brake ndio nikaona hiyo kitu, inakuwa kama inataka kukutupa hivi 😀😀😀
uwe unatumia hand brake au parking brake
 
Back
Top Bottom