Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,483
Je, kuna utofauti wa bei za magari haya huko dukani? Kati ya Toyota Crown loyal family na Toyota Crown Athlete?

Na je mifumo yake jinsi yalivyoundwa yana utofauti kati ya species hizi za gari hili?

Naomba ufafanuzi kwa wajuzi wa gari hizi,maana nataka ninunue moja kati ya gari hizi.

1614145326826.png

Toyota Crown loyal family

1614145443998.png

Toyota Crown Athlete
 
Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors.

1.Athlete grill yake ni ya mesh au chekeche while royal saloon grill yake ni ya horizontal stripes.

2.Tail lights za Athlete ni za Led dual rings while Royal saloon ni Led horizontal stripes. In short taa za Athlete ziko more sporty looking.

3.Rims za Athlete zina solid alloy spokes while Royal salon ni thin alloy spokes.

4.Interiors za Athlete nyingi ni Ash Grey while za Royal saloon ni Wood furnished (za rangi ya mbao)
 
Mkuu nimekukubali,umeeleza vema sana
 
Hats down for you master. Naomba kesho uje ofisini tusaini mkataba wa kazi ya Senior Marketing manager maana utatufaa kwa uwezo huu.
 
Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors.

1.Athlete grill yake ni ya mesh au chekeche while royal saloon grill yake ni ya horizontal stripes.

2.Tail lights za Athlete ni za Led dual rings while Royal saloon ni Led horizontal stripes. In short taa za Athlete ziko more sporty looking.

3.Rims za Athlete zina solid alloy spokes while Royal salon ni thin alloy spokes.

4.Interiors za Athlete nyingi ni Ash Grey while za Royal saloon ni Wood furnished (za rangi ya mbao)
Nikipata gari ndiyo takuelewa vizuri ila apo umeniacha🚶🚶
 
Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors.

1.Athlete grill yake ni ya mesh au chekeche while royal saloon grill yake ni ya horizontal stripes.

2.Tail lights za Athlete ni za Led dual rings while Royal saloon ni Led horizontal stripes. In short taa za Athlete ziko more sporty looking.

3.Rims za Athlete zina solid alloy spokes while Royal salon ni thin alloy spokes.

4.Interiors za Athlete nyingi ni Ash Grey while za Royal saloon ni Wood furnished (za rangi ya mbao)

My ni66a,
 
Hz gari zinakatisha uhai wa vijana wengi wadogo i don't knw why?
Nilicho notes na hiki, zinakimbia sana na zikiwa zimetulia ( zipp stable ). Ila sasa brake kali zinapokuwa kwenye speed kali kwa madereva wadogo ambao macho juu hawana skilis, ndio zinapo waacha hapo na kuwamalizia hapo. Mala kadhaa nimeisha kimbiza Athlete tp 160 to 180.. nilipo jaribu kupiga brake ndio nikaona hiyo kitu, inakuwa kama inataka kukutupa hivi 😀😀😀
 
Nilicho notes na hiki, zinakimbia sana na zikiwa zimetulia ( zipp stable ). Ila sasa brake kali zinapokuwa kwenye speed kali kwa madereva wadogo ambao macho juu hawana skilis, ndio zinapo waacha hapo na kuwamalizia hapo. Mala kadhaa nimeisha kimbiza Athlete tp 160 to 180.. nilipo jaribu kupiga brake ndio nikaona hiyo kitu, inakuwa kama inataka kukutupa hivi
Hapana mkuu gari za mjapani chache sana ndio zina stability barabaran tofauti na za mzungu ukiwa speed 200 na ushee gari bado inabalance ya uhakika imetulia barabarani utafikir upo lets say speed 100 jaribu kuendesha gari za mzungu ulete mrejesho hapa. Vijana tunapenda sifa uikamue gari kisawasawa nilishaapa sitokuja kufanya sifa na gari za mjapan ni takataka zimekula roho za marafiki zangu wengi ambao walikuwa na vipaji vya kudrive magari kwelikweli Rest easy my boys
 
Back
Top Bottom