Ipi ni shule nzuri ya Sekondari ya wasichana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi ni shule nzuri ya Sekondari ya wasichana?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, May 9, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kwa wenye kufahamu shule za mkoa wa kilimanjaro za binafsi(private),ambazo ni nzuri na mchangayiko(boys&girls) au wasichana pekee anijulishe,na mawasiliano ya shule hizo. Nina binti nataka nimtafutie nafasi ya kusoma form 2.
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Saint Mary Goreti
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Majengo sec.
   
 4. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  shule nzuri ni kichwa chako
   
 5. successor

  successor JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2014
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 1,598
  Likes Received: 2,049
  Trophy Points: 280
  Wakuu! Naomba kujuzwa Shule ya wasichana iliyopo mkoa wowote ambayo inafaa kwa wasichana kimaadili na Elimu bora, itakuwa vema zaidi kama mtanijuza na viwango vya Ada
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2014
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,508
  Trophy Points: 280
  Kwa ubora wa Shuke peleka mwanao Catholic Schools.....Wahi
  maana form zilianza tolewa miezi ya mwanzoni....
  Ngoja nikutajie baadhi

  Precious Blood Arusha

  Notre Dame Arusha

  Marian Pwani

  St. MaryGoret Kilimanjaro

  Anwarite Kilimanjaro

  Kibosho Girls Kilimsnjaro

  Visitation Kilimanajaro

  Kandoto Science Kilimanjaro

  Kifungilo Tanga

  Rosmin Tanga
   
 7. Muntu Ya Pori

  Muntu Ya Pori Senior Member

  #7
  Sep 14, 2014
  Joined: Jun 25, 2013
  Messages: 185
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuna shule nzuri pia hapa Dar inaitwa BRIGHT FUTURE GIRLS' SECONDARY SCHOOL. Shule hii inatoa elimu bora sana, ni shule mpya lakini imeanza kwa kasi sana maana inajua kunaushindani hivyo inajitahidi kuhakikisha inatoa huduma bora ya kipekee sana.
  Shule ipo manispaa ya ilala,kata ya msongola mtaa wa mbondole. Ada yake ni mil2.8

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 8. successor

  successor JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2014
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 1,598
  Likes Received: 2,049
  Trophy Points: 280

  Nashukuru kaka mkubwa
   
 9. successor

  successor JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2014
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 1,598
  Likes Received: 2,049
  Trophy Points: 280

  Asante sana mkuu Muntu
   
 10. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2014
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kuna LUTHER GIRLS boarding ipo mapinga km chache kutokea bunju.ada 2m
   
 11. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2014
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 10,479
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Usijaribu precious blood
   
 12. Honey Faith

  Honey Faith JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2014
  Joined: Aug 21, 2013
  Messages: 15,854
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280
  Kwani ikoje?
   
 13. m

  mchapafito JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2014
  Joined: Oct 16, 2013
  Messages: 578
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  St.Francis mbeya au Canossa ipo Dar.....
   
 14. S

  Shilewashile Senior Member

  #14
  Feb 17, 2015
  Joined: Dec 2, 2014
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau wana JamiiForums nauliza Shule ya Wasichana za goverment na Private ni zipi?
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2015
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,210
  Likes Received: 909
  Trophy Points: 280
  Kwanini mkuu? Mie pia naplan kumpeleka binti yangu kidato cha kwanza mwakani
   
 16. Ighombe

  Ighombe JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 892
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Joyland girls,mother teresa of calcuta ,kandoto science girls, st.joachim boys,kiloneni girls ,st. Stephen boys .(zote zipo knjaro) mbili wilaya ya mwanga na the rest same. Google uangalie perfomance.
   
 17. king Chuga

  king Chuga JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2015
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 514
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  me nahis shule nzuri ni Mazinde juu.
   
 18. ISLETS

  ISLETS JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2015
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 5,310
  Likes Received: 1,192
  Trophy Points: 280
  ST.FRANSIS MBEYA AU ST.MARIAN BAGAMOYO hapo mtoto akifikia mtihani wa NECTA we hesabu DINSTICTION(I) au MERIT(II) ila mtoto kichwani ndio vle tena basi atachujwa mapema sana so angalia kwanza historia ya uwezo wa mtoto wako darasani
   
 19. Msweet

  Msweet JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2015
  Joined: Mar 26, 2014
  Messages: 1,121
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  It is not true by 100%
   
 20. Msweet

  Msweet JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2015
  Joined: Mar 26, 2014
  Messages: 1,121
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Wana shida gani hawa? Tujuze tafadhali
   
Loading...