Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu nipo mzima kabisa wa afya.
Ni sehemu gani sahihi ya kutumia maneno "Tanzania" na "National"?
Mfano: Tanzania Football Federation (TFF) kwanini isingekuwa National Football Federation (NFF)
Mfano: National Bank of Commerce (NBC) kwanini haikuwa Tanzania Bank of Commerce (TBC).
Mfano: Tanzania Foods and Drugs Authority (TFDA) kwanini isingekuwa National Foods and Drugs Authority (NFDA)
Mfano: National Insurance Corporation kwanini isingekuwa Tanzania Insurance Corporation?
Ni wapi tunatumia neno Tanzania na wapi tunatumia neno National?
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.