Ipi ni sehemu sahihi ya kuhifadhi pesa?

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
150
159
Habari vipi wadau,

Leo ninaomba mnipatie ushauri kuhusu sehemu sahihi ya kuhifadhi pesa kati ya M pesa na Bank, kuna pesa ninayo saizi ila matumizi yake nimepanga yafanyike kuanzia mwezi wa tano.

Kwa saizi pesa iko katika account ya CRDB lakini kila siku naona kama inazidi kupungua hata bila ya kuitoa. Sasa je, ni benki ipi nzuri ukiachana na hii CRDB au niiweke tu M- Pesa.

Ushauri wenu ni wa muhimu wadau.
 
Unaweka hela bank???,mm uwo upuuzi sifanyi mshahara ukitokaga nauto wote siachi hata kumi benk izi jau sana wanasema ni saving account ila kila mwezi makato mm naifadhi pesa zangu tigo pesa au mpesa na kisafu changu nimekitengeneza special kwa ajiri ya kuweka pesa ndogo ndogo kwangu ila bank pesa siweki hata iweje...
 
I mean, kwa mfano labda nikitoa Kama lakimbili unakuta kwenye salio limepungua Kama 15k
15k ina maana ni makato ya bank au?
Mbona makato makubwa jaribu kwenda kwenye benki yako wakupe maelezo zaidi kuhusu hiyo
Mkuu...
Ila kotekote sawa tu ukiweka hela ni wewe tu kuji balance na matumizi yasiyo na lazima
Kwenye kutumia fedha
Enzi zetu sisi tulipokuwa tunataka kufanikisha jambo letu tulikuwa tunaweka hela style ya kipumbu hiyo hela huigusi maana unaipiga chimbo haswa
Sema fedha iko kwa ajili ya matumizi lazima itatumika tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Bank sehemu sahihi ila ukiona salio lako halieleweki eleweki mwambie meneja wa Bank yako kuwa kuna CHITOLA au Chuma ulete. sijalewa kivileeeee hope sijaenda nje ya mada
 
UTT amis
Screenshot_20210127_145840_com.android.chrome.jpg
 
15k ina maana ni makato ya bank au?
Mbona makato makubwa jaribu kwenda kwenye benki yako wakupe maelezo zaidi kuhusu hiyo
Mkuu...
Ila kotekote sawa tu ukiweka hela ni wewe tu kuji balance na matumizi yasiyo na lazima
Kwenye kutumia fedha
Enzi zetu sisi tulipokuwa tunataka kufanikisha jambo letu tulikuwa tunaweka hela style ya kipumbu hiyo hela huigusi maana unaipiga chimbo haswa
Sema fedha iko kwa ajili ya matumizi lazima itatumika tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Asantee kwa ushaurii
 
Back
Top Bottom