Habari wakuu!
Nahitaji kupata FTA channels. Interest yangu ni news, documentaries, music na local channels. Ipi ni receiver bora kwa matumizi haya kwa sasa? Wapi naweza kupata?
tangu 2013 natumia str4922 hadi sasa sijaona tatizo lake, zimekuja rcv nyingi za kichina eti ni autorolling lakini mfano siku hizi hakuna chanel tena za mpira. hizo dikoda zinabaki kuwa mapambo. str4922 aka mnyama ni baba lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo yenyewe unapata channel za mipira?tangu 2013 natumia str4922 hadi sasa sijaona tatizo lake, zimekuja rcv nyingi za kichina eti ni autorolling lakini mfano siku hizi hakuna chanel tena za mpira. hizo dikoda zinabaki kuwa mapambo. str4922 aka mnyama ni baba lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dekoda hiyo local Chanel unapata ngapi? Ni cband au Ku band inabidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
tangu 2013 natumia str4922 hadi sasa sijaona tatizo lake, zimekuja rcv nyingi za kichina eti ni autorolling lakini mfano siku hizi hakuna chanel tena za mpira. hizo dikoda zinabaki kuwa mapambo. str4922 aka mnyama ni baba lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii starsat extreme 2500 HD kuna sehemu msimbaz pale wanauza 200k. Ndio bei yake kweli?STAR SAT EXTREM 2500 HD NI SHIDAAA
Wap bosi znapatikaka hizo Qsat 26G?Ndugu fundi, mie nina Qsat 26G maisha yanasonga. Nina dish 2 moja futi 6 (local content) na nyingine futi 8 (international news). Roho kwatuuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni Ku band au cband? Kwani Ku mawingu tu shida mnooInategemea umefunga dishi gani na uelekeo gani. Lakini ukifunga dish la kuanzia futi 6 (46E) unapata Startv, Upendo, Wasafi, TVE, Channel10 na Tbc zote. Ukifunga 72E unapata Itv, Eatv na Capital tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana,hiyo dekoda masafa wakibadiri inabidi nimuite fundi tena arekebishe?Nilizotaja hapo juu ziko katika c band. Pili, hakuna solution ya kudumu kwa tatizo la rain fade kwa madish madogo inaponyesha mvua. Mawimbi ya KU sio imara katika kukabiliana na mvua kama ilivyo kwa c band.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wap bosi znapatikaka hizo Qsat 26G?
Ahsante sana,hiyo dekoda masafa wakibadiri inabidi nimuite fundi tena arekebishe?
Sent using Jamii Forums mobile app