Ipi ni receiver bora ya FTA kwa sasa?

tangu 2013 natumia str4922 hadi sasa sijaona tatizo lake, zimekuja rcv nyingi za kichina eti ni autorolling lakini mfano siku hizi hakuna chanel tena za mpira. hizo dikoda zinabaki kuwa mapambo. str4922 aka mnyama ni baba lao
Habari wakuu!

Nahitaji kupata FTA channels. Interest yangu ni news, documentaries, music na local channels. Ipi ni receiver bora kwa matumizi haya kwa sasa? Wapi naweza kupata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu fundi, mie nina Qsat 26G maisha yanasonga. Nina dish 2 moja futi 6 (local content) na nyingine futi 8 (international news). Roho kwatuuuuu.

Back
Top Bottom