BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,040
- 10,459
Najua hii nyuzi inaweza kuwa msaada mzuri kwa Wananchi wa Tanzania ambao wamekata tamaa na pia kwa viongozi ambao sio watatuzi wazuri wa matatizo kupata mikakati na mbinu za jinsi ya kupunguza umasikini katika maeneo wanayoyaongoza..
Mi naanza:
Inawezakana wazungu wakawa watu wabaya ila nachojua kupitia wao ndo tumejua nini maana ya Demokrasia, Uchumi, Teknolojia, ustaarabu na mengine mengi mazuri na mabaya yakiwemo.
Na kwa utafiti usio rasmi ni kuwa nchi zenye uhusiano mzuri na wazungu zimeendelea mfano mzuri ni SouthAfrica.
Mapendekezo Yangu ni kuwa kama tunataka kuwa na Uchumi ulioendeea basi tushirikiane vizuri na aliyegundua maana ya uchumi kwa kumpa
- Mazingira mazuri ya uwekezaji
- Kuwapa fursa ya kuchagua kuwa raia wa Tanzania
- Na wakiwa raia wa Tanzania tuwapigie kura kuwa viongozi pale itapoonekana inafaa hata kushika nafasi nyeti kama URaisi
- Tuwafanye wawe wake au waume wetu.
Kwa ufupi ni kuwa tumkubali mzungu kama ni ndugu yetu then umasikini utakuwa ni history Tanzania.