Ipi ni njia sahihi ya kusalimiana.

Babu sea

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
953
742
Kama unampita mtu unamsalimia na yeye anakujibu kama amesikia...sasa pengine huna uhakika kama amesikia salam yako je unapaswa urudie tena kumsalimia?
Tatizo linakuja pale wamekusikia ila uko out of order mfano makabila mengine salam zinatofautiana kutokana na mda kama vile asubuhi salam yake,mchana na jion kunasalam yake LAKINI wasipoisikia hata hiyo salam (japokuwa ipo out of order) watadhani unajeur(oddly).Hii imekuwa ilinitokea sana kwenye maisha yangu
NALAZIMIKA SANA KUONGEA Kwa sauti pindi ninapomsalimia mtu meanwhile sijui cha kufanya nisaidieni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom