Ipi ni course nzuri kati ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics na Bachelor of Science in Economics and Finance

  • huwezi kuwa competent Kama mtu aliyesomea HR pure, kwa sababu Kuna kozi nyingi hujazisoma kwa sababu haiwezekani mwenzio asome HR kwa miaka mitatu uwe naye sawa ww ambaye umesoma mchanganyiko i.e HR, ACCOUNTING, MARKETING,uvisome ndani ya miaka mitatu unless hiyo BBA isomwe muda mrefu Kama MD
  • Kazi za HR siku hizi Hadi Wanasheria wanafanya
  • kwa hiyo kwenye sheria za Kazi umejifunza Employment and Labour relation Act na Code of Good practice tu? Hujasoma Workers compensation Act, Occupation safety and health Act, Labour institutions Act, Public service Act, Public service regulations of 2003, Labour Court rules 2007, Public service negotiation Machinery Act, Public service social security Act, etc? Ndio maana nilikwambia huwezi kuwa competent Kama aliyesomea HR pure
  • halafu Nani kakudanganya migogoro ya Kazi inaishia CMA? migogoro inaenda hadi Court of Appeal of Tanzania,
Kwamba kasoma marketing principle ndio aijue marketing wakati huo watu wa marketing wanasoma 3years marketing tu SEMA atakuwa ana idea tu na sio atakuwa na uwezo wa kuwa sawa na WA marketing uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom