Ipi nafasi ya vyama vya wafanyakazi katika utetezi wa hali zao!?.

Ikishafika mahali uanachama na michango yake sio hiari, labour unions zinakuwa sawa na magenge mengine ya uhalifu(mafioso) yanayotoza pesa kwa lazima kutoka kwa wanachama wake huku yakiwa yamehalalishwa na sheria. Na ukiona hivyo ujue hali inaruhusu magenge mengi ya aina hiyo kuibuka yakivaa nyuso za sheria na kumpitia kila mtu isipokuwa tu wabarikiwa fulani.
 
Wamwangalie yule was Kenya anavyouwasha moto,sisi watz tumezubaa mmno tutatabika sana nahuyu MTU maana hata baba wa taifa alituasa tukiogopa ogopa kuusema ukweli tutajaongozwa kidikteta. Miaka sita kunawalimu hawajapanda madaraja wakati ilitakiwa kila baada ya miaka mitatu!! Pesa zao MTU anajengea jengea tuu bila kujali watumishi kutaabika. Unatafuta sifa kwa kuwaumiza wengine? Kikwete angeweza pia kujenga kwa kukopa na kuwakandamiza watumishi lakini yeye aliamua kuwa muungwana na kutaka watu waishi vizuri. Nivema kuwa na rais aliyetokea maisha ya hali nzuri kuliko sachunga ng'ombe peku wanaotaka soote tupitie hali hiyo.
 
Back
Top Bottom