Ipi nafasi ya mtanzania UN baada ya GS Antonio Guterres kuapishwa na legacy aliyoacha Dr A.R. Migiro

Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
301
500
Hi

Nini mtazamo wenu nafasi kwa watanzania UN?

Leo kaapishwa katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ni matarajio atakuja na timu mpya ya uongozi kama ilivyo kawaida kwa katibu mkuu mpya anapochukua uongozi.

Ikumbukwe kuwa katibu mkuu anayemaliza muda wake Ban Ki Moon alipoteuliwa alikuwa na safu yake mpya ya uongozi akiwemo mtanzania Dr Asha Rose Migiro. Miongoni mwa wateule wachache sana ambao waliiashia awamu ya kwanza Dr alikuwemo. Taarifa ya kiofisi ilidai kuwa kamaliza muda wake lakini wachambuzi wanadai ilitumika tafsida ukweli wa mambo ni kuwa uwezo ulikuwa mdogo na alishindwa kuendana na Kasi ya Ban Ki Moon hiyo ikaamliwa kibarua kisitishwe aletwe mtu mwenye upeo mkubwa

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi hasa nafasi ya mtanzania UN hasa baada ya utendaji wa Dr. Asha. Najiuliza hivi ni kweli legacy aliyoiacha ni chafu kiasi kwamba inaleta walakini kwa mtanzania kuteuliwa tena UN. Najiuliza tena kama ni kweli na ukizingatia kashfa ya wasomi vihiyo, kufoji vyeti kulikokithiri, watumishi hewa maofisini yote haya UN wanayajua, hivi kweli kuna mtz ataaminiwa tena UN. Inaweza kuwa kweli alimaliza muda wake na legacy aliyoacha UN ni ya kuigwa lakini maswali mengi yanaongezeka kwa uwezo wa hawa wasomi wa Tz na hizi doctorate zao hasa pale ninapomfikiria Professor wa kitanzani analala ofisini aking'ang'ania uenyekiti wa chama badala ya kulala kwenye research au doctor analia huku akitubu hadharani baada ya kutemeshwa ukuu wa mkoa... Najiuliza sipati jibu.
Great thinkers mnakaribishwa...
 
Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,357
2,000
Ile nafasi aliyoipata Migiro pale UN, kama angeipata Lowasa angeendana na kasi ya Mun, yule mama katuchafulia wabongo.
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,814
2,000
Hi

Nini mtazamo wenu nafasi kwa watanzania UN?

Leo kaapishwa katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ni matarajio atakuja na timu mpya ya uongozi kama ilivyo kawaida kwa katibu mkuu mpya anapochukua uongozi.

Ikumbukwe kuwa katibu mkuu anayemaliza muda wake Ban Ki Moon alipoteuliwa alikuwa na safu yake mpya ya uongozi akiwemo mtanzania Dr Asha Rose Migiro. Miongoni mwa wateule wachache sana ambao waliiashia awamu ya kwanza Dr alikuwemo. Taarifa ya kiofisi ilidai kuwa kamaliza muda wake lakini wachambuzi wanadai ilitumika tafsida ukweli wa mambo ni kuwa uwezo ulikuwa mdogo na alishindwa kuendana na Kasi ya Ban Ki Moon hiyo ikaamliwa kibarua kisitishwe aletwe mtu mwenye upeo mkubwa

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi hasa nafasi ya mtanzania UN hasa baada ya utendaji wa Dr. Asha. Najiuliza hivi ni kweli legacy aliyoiacha ni chafu kiasi kwamba inaleta walakini kwa mtanzania kuteuliwa tena UN. Najiuliza tena kama ni kweli na ukizingatia kashfa ya wasomi vihiyo, kufoji vyeti kulikokithiri, watumishi hewa maofisini yote haya UN wanayajua, hivi kweli kuna mtz ataaminiwa tena UN. Inaweza kuwa kweli alimaliza muda wake na legacy aliyoacha UN ni ya kuigwa lakini maswali mengi yanaongezeka kwa uwezo wa hawa wasomi wa Tz na hizi doctorate zao hasa pale ninapomfikiria Professor wa kitanzani analala ofisini aking'ang'ania uenyekiti wa chama badala ya kulala kwenye research au doctor analia huku akitubu hadharani baada ya kutemeshwa ukuu wa mkoa... Najiuliza sipati jibu.
Great thinkers mnakaribishwa...
PhD zilinunua mabehewa feki hata profesa kapuya alikuwa alifanya vioja sana
 
POST TRUTH

Senior Member
Nov 18, 2016
104
250
Tuache unafiki

Humu jamiiforums udikteta kwenda mbele watu wanapigwa ban bila kujulishwa ssababu moderators wamekuwa miungu watu wana moderate kutokana na moods zao

Sasa Leo kibao kimegeuka mnalalamika?

Mshajiuliza why members hawapewi options za kukuta threads zao walizoanzisha? Kwa nini JF inataka. Kuhodhi kila kitu?

Au why hakuna namna ya members kujitoa au kujifuta uanachama?

Uongozi haijulikani ni akina nani maana kila mtu anaclaim kuwa yeye ni kiongozi na mwanzilishi na shareholder lakini mbona hakuna shareholders agreements au leadership elections na objectives na strategic plan??We can complain about govt repression huku ndani tunarepress members
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,041
2,000
Hi

Nini mtazamo wenu nafasi kwa watanzania UN?

Leo kaapishwa katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ni matarajio atakuja na timu mpya ya uongozi kama ilivyo kawaida kwa katibu mkuu mpya anapochukua uongozi.

Ikumbukwe kuwa katibu mkuu anayemaliza muda wake Ban Ki Moon alipoteuliwa alikuwa na safu yake mpya ya uongozi akiwemo mtanzania Dr Asha Rose Migiro. Miongoni mwa wateule wachache sana ambao waliiashia awamu ya kwanza Dr alikuwemo. Taarifa ya kiofisi ilidai kuwa kamaliza muda wake lakini wachambuzi wanadai ilitumika tafsida ukweli wa mambo ni kuwa uwezo ulikuwa mdogo na alishindwa kuendana na Kasi ya Ban Ki Moon hiyo ikaamliwa kibarua kisitishwe aletwe mtu mwenye upeo mkubwa

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi hasa nafasi ya mtanzania UN hasa baada ya utendaji wa Dr. Asha. Najiuliza hivi ni kweli legacy aliyoiacha ni chafu kiasi kwamba inaleta walakini kwa mtanzania kuteuliwa tena UN. Najiuliza tena kama ni kweli na ukizingatia kashfa ya wasomi vihiyo, kufoji vyeti kulikokithiri, watumishi hewa maofisini yote haya UN wanayajua, hivi kweli kuna mtz ataaminiwa tena UN. Inaweza kuwa kweli alimaliza muda wake na legacy aliyoacha UN ni ya kuigwa lakini maswali mengi yanaongezeka kwa uwezo wa hawa wasomi wa Tz na hizi doctorate zao hasa pale ninapomfikiria Professor wa kitanzani analala ofisini aking'ang'ania uenyekiti wa chama badala ya kulala kwenye research au doctor analia huku akitubu hadharani baada ya kutemeshwa ukuu wa mkoa... Najiuliza sipati jibu.
Great thinkers mnakaribishwa...
Hoja yako ni ya kizushi,hata majibu unayoyataka unataka yawe ya kizushi.
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,309
1,500

Lakini sio kwamba watanzania wote ni vihiyo!
 
Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
301
500
Lakini sio kwamba watanzania wote ni vihiyo!
Hata tunavyosema Brazil wanajua mpira haina maana kila mbrazili anajua kucheza mpira ila ukweli waliowawakilisha wabrazil kwenye mpira walifanya vizuri ndio maana haya wakina Jaja walipata nafasi kwa sababu ya jina la nchi Yao kwenye soka ingawa kiwango chao Ni kidogo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom