Ipi kati ya hizi (pcm,pcb,pgm,cbg) inalipa zaidi kimaslahi?

Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,410
3,218
Kumekuwa na tetesi kuwa kesho jmosi doktazi watagoma,lakini hivi punde tu waheshimiwa wenye dhamana wamewapa unafuu wa jambo lao.Ikumbukwe kuwa doktazi are PCB'S (physics,chemistry & biology) oriented subjects,hivi wataalamu wengine vipi? au ndio kusema PCB ni combination BORA SANA?,Na hili suala linawafundisha nini walioko shuleni kwa sasa?.Au doktazi hawa hawana subira na wito kama wengine au hizo fani nyingine za science hawataki yale doktazi wanataka?.

Asante nawasilisha.
 
Sawa,lakini msingi wa hoja hapa ni kule wanakotoka doktazi kwa maana ya elimu yao toka kidato cha tano mpaka kuwa mahili haina tofauti na kada nyingine za sayansi na hata kada nyingine,lakini kwanini wao tu kila kukicha?
 
Kwanza jiulize ni kada gani ambayo hufanya mitihani mingi kuliko kada zote hata nchini?? KIUFUPI

PCB anapiga Phy,Chem na Bios mitihani mi3 jumla 9 + BAM na GS jumla ni 11

PCM anapiga phy na chem mitihani 3 na math mi2 jumla 8 + BAM na GS inakuwa 10

CBG anapiga chem na bios mitihani 3 na Geog mi2 jumla 8 + BaM na GS jumla 10

PGM anamiga Geog na Math mitihani mi2 na phy mi3 jumla 7 + BaM na GS inakua 9

Pia kumbuka kua hao wanaolalamika ni Madokta ambao wanasoma chuo MIAKA 5 pia kumbuka kuawa suala la kuhudumia wagonjwa tena mahututi sio suala la kupuuzia mwisho wa mwezi.
Nadhani utakua Umeona Madokta wetu wanavyo hangaika na na selikali ya baba rizi inavyo wapuuzia. Nadhani vijana wana HAKI ya kugoma.
 
nimekusoma kaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom