Ipi kali?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,669
155,084
KUNA mashirika mengi sana ya kijasusi na ulinzi wa watawala na nchi.
Maarufu sana ni kama C.I.A, iliyokuwa KGB, MOSAD, Swiss Guard na mengine mengi.
Kati ya hayo yote ni wepi ambao wanafanya kazi kwa uhakika na umakini huku wakitunza siri na mbinu zao?
 
Mnaacha kufikiria idara ya usalama wa taifa itaacha lini kutumika kama chocmbo cha chama, mnajadili mashirika ya kijasusi ya wenzenu.
Shame on you
 
Back
Top Bottom