Ipi inaweza kuwa mishahara sahihi kwa wafanyakazi wa sekta binafsi?


S

Salanya Jr

New Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
1
Likes
0
Points
0
S

Salanya Jr

New Member
Joined Sep 22, 2011
1 0 0
Nasikitishwa na unyanyasaji wa hii kampuni ya huduma kwa wateja inayofanya kazi zake na kampuni moja ya simu za mkononi maarufu hapa nchini, kinacho nikwaza ni mishahara midogo Tsh 150000/= kwa mwezi pamoja na kupanda kwa gharama zamaisha nchini,Swali langu la msingi ni je, Elimu ya vijana wetu waliosoma kwa mkopo wa kusumbuliwa ndo unalipwa kwa staili hii? je kuna haja ya kusomesha watoto wetu shahada na stashahada? hata kama haja ipo tutawezaje?
 

Forum statistics

Threads 1,238,778
Members 476,144
Posts 29,330,559