Ipi inafaa kwenye gari kati ya battery ya maji na dry?

Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?

Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
 
Gari ya kwake,Uzi wa kwake,betri anatafuta ya kwake halafu tunapangiana vya kupost?

Basi nenda kwenye ule Uzi unaoonesha mtu flani anafanyiwa operation ya 25
 
Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?

Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Anapoomba ushauri mmoja kuna wengine wananufaika kupitia ushauri huohuo.

Usichoke kuwashauri watu pia teknolojia zinabadilika kila kukicha.
 
Asanteni Sana kwa ushauri wenu nmechukua battery dry n40 Aina ya incoe
DSC_0406.jpg
 
Back
Top Bottom