Chukua dry.Heshima kwenu wakuu wangu
Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
Ungesema na aina ya gari ingesaidia kukushauriHeshima kwenu wakuu wangu
Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
Heshima kwenu wakuu wangu
Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
Kwa gari ndogo nunua kavu, kwasababu inakaa ndani ya boneti, ili ikivuja maji yasiharibu kifaa kingine, ila kama ni gari kubwa siyo mbaya, maana hufungwa nje.Heshima kwenu wakuu wangu
Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
Gari ya kwake,Uzi wa kwake,betri anatafuta ya kwake halafu tunapangiana vya kupost?Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?
Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Anapoomba ushauri mmoja kuna wengine wananufaika kupitia ushauri huohuo.Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?
Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Ningekushauri ununue Dry Cell kwani ni nzuri sana kwa gari ndogoNi Suzuki escudo boss
Mi pia nimefaidika .........huyo aliekuwa anapinga ni mbinafsi na roho mbaya tuuAnapoomba ushauri mmoja kuna wengine wananufaika kupitia ushauri huohuo.
Usichoke kuwashauri watu pia teknolojia zinabadilika kila kukicha.