Ipi ina market na shavu,programming na networking?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi ina market na shavu,programming na networking?!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MtuMmoja, Oct 9, 2011.

 1. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Naomba kujuzwa katika hili ndugu zangu ma great thinker,Nikaze wapi kati ya programming (kuchapa code) na Networking ili baadaye nifaidi maisha!!
   
 2. ropam

  ropam Senior Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jisome mwenyewe kwanza..unapenda nini kati ya Programming na Networking, halafu pia life style yako ya mbele unataka ije kuwaje,,enjoying life begins with love siku zote...tutakuambia fanya programming hapa kumbe wewe kwa wk unashika pc yako mara 3 tu...au tukakuambia networking kumbe mwenzetu unataka maisha ya kwenye dawati ofisini!
  NOTE: kazi zote mbili zina cash fresh...t just depends on your competence, the competence that grows better with the love to your proffesion!
   
 3. h

  hubiri b Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu angalia ni wapi una interest zaidi, ila ukiangalia kupata cash zaidi utakua unakosea
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hizo professional zote zinalipa!! inategema level utakayokuwa nayo!! but programming yataka moyo....ni kazi inayotka concentration muda wote hata wife unaweza msahau kisa coding......
   
 5. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Daah programming mkuu issue maana macode yanatakiwa yawe kichwani muda wote mimi nilikimbia hayo macode nikakimbilia kwenye networking sometimes huwa nazikimbia kazi za hela kwa jinsi zilivyo nyingi maana router ikigoma kidogo tu nitatafutwa
   
 6. ropam

  ropam Senior Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  PROGRAMMING inahitaji mapenzi ya dhati kweli!
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nenda networking programming bongo sidhani kama market ipo.
   
Loading...