Ipi ilikuwa idea kali kuhusu ujumbe wa UKIMWI kati ya hizi?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
Nipe 3 bora zako....
1. OCG- Kazeze
2. Mangwea- a,k,a Mimi
3. Prof Jay - Msinitenge
4. Solothang – Sukari ina PiliPili
5. Mwana Fa – alikufa kwa ngoma
6. Solid Ground Family – Mechi Kali
7. Uswahilini Matola – Kosa la Marehemu
8. Wagosi wa kaya - Titamtambuaje
9. Afande Sele – Kama Ntapata ukimwi
10. Joslin – Mshkaji Mmoja
11. Feruzi – Starehe
12. GK – Sister Sister
13. Ishi Stars - Usione soo
14. Kigwema – Sitomsahamu
 
A.k.A Mimi:Ngwair ft TID
Kuna watu nasikia hawanzimii,kama huyu mama terry sijui hanifagilii/
Kila Siku ananiua kwenye TV,magazeti radio anadhani sikikii/
Nachoshukuru wabongo wengi hawasikii.....
NB:A.K.A Mimi ni Album bora ya mwaka husika 2005/6
Alikufa ngoma: FA

Msinitenge :prof Jay ft Q Chief

Sub;
Starehe:Ferooz ft Prof Jay
 
Acheni ubishi sikiliza hii kitu, huwa nautumia huu wimbo kufundishia vijana

 
Hiyo no. 11 stori ya mshikaji mmoja n balaa sana. Ni zaidi stori nazani ilifaa kuandikiwa movie..

Haijalishi we nani
Haijalishi u tajiri masikini
Ukipata ukimwi n kifoooo
Stori ya mshikaji mmoja hivi....
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom