IPi gari bora kati ya hizi

Unazifaham kwa kuziangalia?yenye nafasi kubwa ndani hapo ni raum chukua iyo gari kama una familia ndogo.
 
Yaani unataka gari bora ya kuendea kanisani??..mbona kama sijakuelewa..kuna uhusiano gani kati ya aina ya gari na ibada?
akiwa anakwenda kwenye ibada anaenda na familia hivyo anakusudia kati ya gari tajwa hapo juu ni ipi itamfaa yenye nafasi ya kumwezesha kutosha.

mm ningemshauri achukue raum new model ina nafasi ya kutosha
 
Raum inafaa zaidi kwenye familia ndogo anza na hiyo baadae Prado au cluser
 
Back
Top Bottom