Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Labda tufahamu kwanza tofauti ya 4WD na AWD nachojua mimi Kluger zipo ambazo ni AWD na sio 4WD kwa kuwa hazina optional.

4WD ni kuwa tairi zote nne zinauwezo wa kujiendesha, huku mbili za nyuma zikiwa fulltime na za mbele ni Option

AWD ni sawa na hiyo 4WD, lakini hapa ni All Wheel Drive, yaani tairi za mbele na nyuma zinajiendesha muda wote, hauna option ya kubakisha tairi za Nyuma pekee, yaan unaweza sema fulltime 4WD
 
Ugonjwa wa prado ni stability tu...kukutupa ni rahisi sana kama una rough driving na speeding za kijinga

Kwa nini unasema ni ugonjwa wa Prado, nitajie gari yoyote ambayo center of gravity hiko juu halafu ina stability regardless ya speed and cornering - soma tena user manual kuhusu onyo linalo tolewa na wahundaji wa magari ya SUV type ambayo center of gravity yake hiko juu Prado ikiwa mojawapo.
 
Nah prado ts too much...endesha na spidi 40 kwenye rasta kubwa zile za lami utaona ukifika tairi za nyuma gari inahama kiu pande...drive it to 170km/hr utaona handling yake ipoje...den tuje kwenye prado new model east handling iko stable 180km/hr very comfortable handling...nenda kwenye vx landcruiser editions...prado tx walichemka kwenye stability
 
Kuchemka kivipi? Nimekwambia kasome tena user manual inasemaje - mbona mimi sijawahi kukumbwa na matatizo ya handling wala stability ninacho fanya ni kufuata masharti yaliyo andikwa kwenye user manual,nakwebda spidi kubwa sehemu ambayo inaruhusu na ambapo hakuna crosswind si hilo tu nahakikisha vile vile nafunga midirisha yote na sunroof, nakata kona kwenye speed wanayo recommend, siyo mtu anaendesha gari anavyotaka na kupuuzia vitu ambavyo ni so obvious.

Watu wanakuja hapa na madai eti matairi ya Prado yanachomoka hovyo, gari unalo lifanyia service za mara kwa mara linawezaje kuchomoka tairi? Eti ball joint za mbele ni mbovu sana - uzushi mtupu.

Watu wengine wanafikiri hakuna ulazimisha wa kubadirisha ball joints from time to time, hawajui kwamba zinaplay role kubwa kwenye masuala ya handling na stability bila ya kusahau na suspension za mbele na nyuma, vyote hivyo vinapashwa kubarishwa on time siyo vinakaa kwenye gari miaka nenda rudi, actually service manual inaonyesha timeframe ya kitu gani ubadirishe kwenye gari baada ya muda fulani bila ya kujali muonekano wa spare iliyo fungwa kwenye gari, tatizo ni kwamba Waswahili tunapuuzia sana ushauri wa wahundaji magari.
 
Kwa nini unasema ni ugonjwa wa Prado, nitajie gari yoyote ambayo center of gravity hiko juu halafu ina stability regardless ya speed and cornering - soma tena user manual kuhusu onyo linalo tolewa na wahundaji wa magari ya SUV type ambayo center of gravity yake hiko juu Prado ikiwa mojawapo.
hapa tunaongelea prado tx zenye engine ya 3rz wengine wanaziita 95,hii gari ina base area ndogo na height kubwa
Kuchemka kivipi? Nimekwambia kasome tena user manual inasemaje - mbona mimi sijawahi kukumbwa na matatizo ya handling wala stability ninacho fanya ni kufuata masharti yaliyo andikwa kwenye user manual,nakwebda spidi kubwa sehemu ambayo inaruhusu na ambapo hakuna crosswind si hilo tu nahakikisha vile vile nafunga midirisha yote na sunroof, nakata kona kwenye speed wanayo recommend, siyo mtu anaendesha gari anavyotaka na kupuuzia vitu ambavyo ni so obvious.

Watu wanakuja hapa na madai eti matairi ya Prado yanachomoka hovyo, gari unalo lifanyia service za mara kwa mara linawezaje kuchomoka tairi? Eti ball joint za mbele ni mbovu sana - uzushi mtupu.

Watu wengine wanafikiri hakuna ulazimisha wa kubadirisha ball joints from time to time, hawajui kwamba zinaplay role kubwa kwenye masuala ya handling na stability bila ya kusahau na suspension za mbele na nyuma, vyote hivyo vinapashwa kubarishwa on time siyo vinakaa kwenye gari miaka nenda rudi, actually service manual inaonyesha timeframe ya kitu gani ubadirishe kwenye gari baada ya muda fulani bila ya kujali muonekano wa spare iliyo fungwa kwenye gari, tatizo ni kwamba Waswahili tunapuuzia sana ushauri wa wahundaji magari.

Ndio wamechemka,because thats a defect in their structural design ya prado 95...it has a small base area na height kubwa which makes it very difficult to handle when gravity starts to swing about.na nadhani ni kati ya suv ambazo zimeangushwa sana
they have seen that ndo maana waka indicate kwenye user manual.toyota prado targeted to offer off road vehicles with advance perfomance but they failed to do so in practice.ukumbuke kuwa biashara ya magari ni competitive..people want a car that has it all,kinachotukwamisha wa africa ni hali ya uchumi tu.

thread ilianza na ipi gari bomba kati ya prado kluger na grand escudo..kati ya hizi gari prado is the least when it comes to stability,it a simple comparison,hilo la ball joint ni service tu.as i said kama unajua na kujali gari yako hii kitu hutokuja kuiona.

magari mengi ya toyota yana vijitatizo flani common mfano ilivyo kwa rav 4 na rear camber angle au matege.which is very rare kwa european cars

mfano mwingine prado ya 99 dash board yake ni ile ya locks,hii imetesa sana watu baada ya muda locks zinakatika kutokana naa ubovu wa barabara zetu.
 
maamuzi ya mwisho ulinunua gari g
Naomba msaada wenu wakuu. Nimezishotilist hizi gari tatu ili ninunue mojawapo.
Vigezo
Uimara kuhimili safari za vijijini kuwaona wazee
Confortability
Upatikanaji wa spea

Uchunguzi nilioufanya unaonesha kuwa kodi ya prado na grand escudo ni sawa ila ya kluger ipo chini kidogo. CIF ya grand escudo ipo chini kidogo ukilinganisha na prado

Kwa utashi wangu nimezirank kama ifuatavyo
1. Suzuki grand escudo
2. Toyota prado
3. Toyota kluger

Mimi napenda sana gari yenye back tire
Karibuni kwa ushauri wakuu

ani?
 
Back
Top Bottom