Ipi dawa ya kuondoka (Visunzua) vinyama vyeusi vinavyoota usoni

Uzi wa zamani, ila km kuna mwenye solution mpya aweke hapa

Mi nnacho kwenye jicho asee, kinanikosesha raha kbs na mambo ya kukata naona km risky
Tumia dawa hio wart remover,au km utaona ngumu kuipata tumia Kitunguu Swaumu,Kitunguu Maji ( vikwangue viwe topetope) Limao na Packing Soda changanya,paaka ktk Visonzua (Warts) siku 10 vitaisha vyote.

Alafu ulete mrejesho.
514yj6EYrQL.jpg
 
Tumia dawa hio wart remover,au km utaona ngumu kuipata tumia Kitunguu Swaumu,Kitunguu Maji ( vikwangue viwe topetope) Limao na Packing Soda changanya,paaka ktk Visonzua (Warts) siku 10 vitaisha vyote.

Alafu ulete mrejesho.View attachment 1753289
Hi ni nzuri NILISHA tumia Ina harufu Kama iodine tincture vile unapaka kwa ncha ya kakijiti pale TU penye sunzua isiguse ngozi ya kawaida
 
Dawa Ni WARTS REMOVING SOLVENT au WARTS REMOVING PAINT Ipobkama Iodine tincture ila una paka kisunzua kimoja au VIWILI halafu zitapukutika zote
Maduka ya Famasi inaitwa ivyo ivyo na inauzwaje madukani
 
mwenye tatizo hili aende instagram atafute page ya sachques hlf lete mrejesho wa dawa utakayopewa hutajutia
 
Kuna sindano zilinisaidia ila sizijui /sizikumbuki maana nilikuwa chalii bado

Niliandikiwa sijui tano sijui tatu basi nakumbuka nilichomwa moja tu ile ya siku ya kwanza na hawakuniona tena hospital kwa chenga nilizokuwa nampiga bimkubwa

Pia kuna mmea wa asili jina nimeusahau ni maarufu sana katika kutibu vidonda. Mmea huu una majani kama ya mchicha au maua mengine ila yenyewe ya kijani sana, unatoa maua meupe yanayojikunja kwa kujiviringisha kidogo mbele na una utomvu mweupe

Mmea huo nakumbuka niliambiwa niwe nakwanyua kitawi kila asubuhi halafu nipake kwenye sunjua (chunjua) zilizokua zimejazana katikati ya pua baina ya macho mawili
 
Hata "tinctute iodine" nayo inatumika kutibu, unachukua cotton bud kupakaza kwenye kisunzia tu kimoja baada ya kimoja kwa siku kadhaa.
 
Back
Top Bottom