Ipi coz nzuri kati ya business adminstration na logistics and transport management?

Guy Isaac

Senior Member
Aug 10, 2019
126
60
Naomba kusaidiwa mada tajwa hpo juu, ushauri wako +wangu binafsi naiman nitachkua maamuz mazur yatakayonisaidia mbele ya safar yngu, nimechaguliwa hzo coz kwnye vyuo tofaut and now niko dilemma niconfirm chuo kipi chenye kozi bora na siyo bora chuo,
 
Kama nyumbani mna biashara tayari ama wewe umeshafungua kampuni yako nashauri usome uongozi wa biashara ila kama nyumbani chambi chambi zinapiga chenga basi nakushauri baharia usome coz Logistic na usafirishaji kwa kuwa kama una passion ya masters basi utasoma MBA. Asante!
 
Ahsante kwa uxhauri wko mkuu, arleady noted
 
Oya dingiii umechaguliwa wap aisee jombaaa ni NIT ama nn vibro degree ama nn
 
Nasikia unaweza fanya kazi bandarin ukisomea hyo coz
Ni kweli Unaweza Fanya kazi kwenye LOGISTICS COMP,TPA,TASAC, CLEARING & FORWARDING COMP ila tu Kazi zenyewe ndiyo dah Muombe tu MUNGU sana na uje kuwa Mvumilivu.
 
Back
Top Bottom