Ahsante kwa uxhauri wko mkuu, arleady notedKama nyumbani mna biashara tayari ama wewe umeshafungua kampuni yako nashauri usome uongozi wa biashara ila kama nyumbani chambi chambi zinapiga chenga basi nakushauri baharia usome coz Logistic na usafirishaji kwa kuwa kama una passion ya masters basi utasoma MBA. Asante!
Kama nyumbani mna biashara tayari ama wewe umeshafungua kampuni yako nashauri usome uongozi wa biashara ila kama nyumbani chambi chambi zinapiga chenga basi nakushauri baharia usome coz Logistic na usafirishaji kwa kuwa kama una passion ya masters basi utasoma MBA. Asante!
Oya dingiii umechaguliwa wap aisee jombaaa ni NIT ama nn vibro degree ama nnNaomba kusaidiwa mada tajwa hpo juu, ushauri wako +wangu binafsi naiman nitachkua maamuz mazur yatakayonisaidia mbele ya safar yngu, nimechaguliwa hzo coz kwnye vyuo tofaut and now niko dilemma niconfirm chuo kipi chenye kozi bora na siyo bora chuo,
Ni kweli Unaweza Fanya kazi kwenye LOGISTICS COMP,TPA,TASAC, CLEARING & FORWARDING COMP ila tu Kazi zenyewe ndiyo dah Muombe tu MUNGU sana na uje kuwa Mvumilivu.Nasikia unaweza fanya kazi bandarin ukisomea hyo coz