dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,216
- 54,831
majanga kivipi em fafanua kiundani mkuuNi majanga tupu
majanga kivipi em fafanua kiundani mkuuNi majanga tupu
Nokia 3310 ni nzuri zaidi!
Nimeuliza swali moja: Vina usb tethering hivi vindude?
Chukua ya TIGO mkuu, hotspot inafanya vyema kwenye macbook, pia battery life ni superb, bei yao pia rafiki sana ukilipia kwa tigopesa.Wadau habari za majukumu, naomba kuuliza kwa wanaojua au ambao tayari wameshatumia simu hizi zinazopigiwa promo kwa sasa na makampuni ya Vodacom na Tigo maarufu kama Kitochi 4G Smart.
Napenda kujua ipi ni bora zaidi japo naona zinafanana ila tofauti kulingana na maelezo yao na battery capacity ya Vodacom ni 1400mAh na Tigo ni 1900mAh. Kama kuna zingine nijuzeni na ubora wake nataka ninunue. Asanteni.
Hakika mkuu nami naisalute ninayo hapa..Nokia 3310 ni nzuri zaidi!
Nokia wako makini.Hakika mkuu nami naisalute ninayo hapa..View attachment 1297573View attachment 1297574
Sent using Jamii Forums mobile app
ninaweza kuistall telegram?Kai os inayo wifi hotspot.
RAM yake ni majanga!Nokia 3310 ni nzuri zaidi!
Mm nako haka ka Nokia banaaa ni nomaaa 4g yaaa inakimbiza balaa sema bei ufumbe machoView attachment 1300463
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo simu ya kaziView attachment 1288333
Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii.
> Nokia 800 Tough - Full phone specifications
Naona inakidhi mahitaji ( wifi / modem )
Nafuatilia zaidi upatikanaji na price yake.
Matoleo mengine ya simu zenye KAIOS: Meet The Devices That Are Powered by KaiOS - KaiOS
Bei gani mkuu?Mm nako haka ka Nokia banaaa ni nomaaa 4g yaaa inakimbiza balaa sema bei ufumbe machoView attachment 1300463
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo ndo natumia mda huuVp WiFi hotspots?
Hizi azumi l4k za voda line zote 2 zinasoma 4G ila lazima uweke voda kwenye slot no 13/4g ni sim 1 tu
Mimi yakwangu laini ya voda nikiunga bundle nikijihostpot kwenye simu nyingine naweza ku access social media tu siwezi kuingia google wala kudownload document whatsapp ila line 2 nafanya vyote sasa sijajua ni yangu tu au wew yako ipo vipi??Hizi azumi l4k za voda line zote 2 zinasoma 4G ila lazima uweke voda kwenye slot no 1
Azumi Za voda line zote zinapiga 4g3/4g ni sim 1 tu